Tatizo la Maji Dar es Salaam na Pwani

lugoda12

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
276
Reaction score
574
Kwa Sasa maji kwenye jiji la Dar ni anasa.

Wakati wa JPM wauza maji walihamia kwenye bajaji, Bodaboda na Taxi. Kwa Sasa watu wananunua magari ya kuuzia maji.

Waziri awezo hukujifunza utendaji chini ya JP Magufuli? Embu mtusaidie hii adha ya maji.
 
Aweso huu kwako ni mtihani,hapa ndio pa kuchezesha turufu yako ili ionekane kwama unaweza au ni nguvu ya soda...
 
Kwa Sasa maji kwenye jiji la Dar ni anasa.

Wakati wa JPM wauza maji walihamia kwenye bajaji, Bodaboda na Taxi. Kwa Sasa watu wananunua magari ya kuuzia maji.

Waziri awezo hukujifunza utendaji chini ya JP Magufuli? Embu mtusaidie hii adha ya maji.
Mbona kila siku tunaambiwa serikali inamtua mama ndoo kichwani?
Hii nchi tunadanganywa sana.
 
Kwa Sasa maji kwenye jiji la Dar ni anasa.

Wakati wa JPM wauza maji walihamia kwenye bajaji, Bodaboda na Taxi. Kwa Sasa watu wananunua magari ya kuuzia maji.

Waziri awezo hukujifunza utendaji chini ya JP Magufuli? Embu mtusaidie hii adha ya maji.
Tunaelekea chaguzi muda wakupiga hela huu achakutuharibia biashara zetu,before Magu tulikua madone wakuuza maji maana ndoo ilifika mpk elfu 2,tumekua na magari Mbezi zote 2,kimara,g.mboto na maeneo yote Kwa ukumla achatupige hela
 
Kwa Sasa maji kwenye jiji la Dar ni anasa.

Wakati wa JPM wauza maji walihamia kwenye bajaji, Bodaboda na Taxi. Kwa Sasa watu wananunua magari ya kuuzia maji.

Waziri awezo hukujifunza utendaji chini ya JP Magufuli? Embu mtusaidie hii adha ya maji.
Mgao wa maji ulianza kimya kimya Dar na Pwani
 
Nakumbuka maneno ya Mzee mmoja: "..IPO siku ajira za vimemo zitakuja kuvimbiwa na kupasuka.." Hapo Dawasco nawafahamu watoto WA vigogo watatu ambao wapo kwenye nafasi za juu kabisa za utendaji, hao hata Aweso afanyeje hawawezi kuguswa ...Legacy ya Msoga hiyo!
 
Kwa Sasa maji kwenye jiji la Dar ni anasa.

Wakati wa JPM wauza maji walihamia kwenye bajaji, Bodaboda na Taxi. Kwa Sasa watu wananunua magari ya kuuzia maji.

Waziri awezo hukujifunza utendaji chini ya JP Magufuli? Embu mtusaidie hii adha ya maji.
Labda wanampiga Vita Mama 😳🙄!
Nimesema LABDA 🤦🏽‍♂️ !
 
Kwa Sasa maji kwenye jiji la Dar ni anasa.

Wakati wa JPM wauza maji walihamia kwenye bajaji, Bodaboda na Taxi. Kwa Sasa watu wananunua magari ya kuuzia maji.

Waziri awezo hukujifunza utendaji chini ya JP Magufuli? Embu mtusaidie hii adha ya maji.
Huyo Waziri kazi ya uchawa na kumsifia Rais ndiyo anaiweza🙄

Katika hotuba yake ya dakika 5 anaweza msifia Dkt Samia, hata mara 100!😎

Lakini utendaji katika wizara hiyo ame-prove failure kubwa sana
 
Huyo Waziri kazi ya uchawa na kumsifia Rais ndiyo anaiweza🙄

Katika hotuba yake ya dakika 5 abaweza msifia Dkt Samia, hata mara 100!😎

Lakini utendaji katika wizara hiyo ame-prove failure kubwa sana
Aweso alifanya kazi nzuri wakati wa JPM. Hata DAWASCO ilithibitiwa tatizo ni uongozi wa juu kabisa nchini. Hajishughulishi na mambo kama hayo.
 
Miaka 60 madarakani maji tatizo. Kama kuna mtu anaamini CCM anaweza kuleta maendeleo akipewa muda zaidi. Huyo mtu anastahili kupigwa akili katika vituo vya afya vya nchi nzima. Yaani kila akiamka ni kupimwa akili tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…