binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Na serikali ipo inaacha hii michezo michafu inaendelea??Issue ya maji Dar naona ni michezo michafu tu ya watu kwasababu Wami/Ruvu bado iko na maji.
Sijui ata ni makusudio gani? Na ata maji yakizingua Ruvu kuna visima zaidi ya saba virefu vishachimbwa Kimbiji (Kigamboni) vinauwezo mkubwa sana na matank yashajengwa uko Kigamboni makubwa sana hadi Rais alienda kuzindua (mwaka juzi)!Na serikali ipo inaacha hii michezo michafu inaendelea??
WaTz tuna tatizo la msingi sana la kuishi substandard life/below normal na kuridhika, mwaka 2024 bado maji ni tatizo kwenye jiji la kibiashara, honestly haya ni maajabu.
I am sure Mbowe kwake kuna maji 24/7/365 na bado alikuwa barabarani juzi, Sisi sasa including hao polisi 😀😀
MajiMiaka 60 madarakani maji tatizo. Kama kuna mtu anaamini CCM anaweza kuleta maendeleo akipewa muda zaidi. Huyo mtu anastahili kupigwa akili katika vituo vya afya vya nchi nzima. Yaani kila akiamka ni kupimwa akili tu.
walikuwa wanaogopa Kutumbuliwa majipu !Aweso alifanya kazi nzuri wakati wa JPM. Hata DAWASCO ilithibitiwa tatizo ni uongozi wa juu kabisa nchini. Hajishughulishi na mambo kama hayo.
kwani sialishamtumbua jamaa bosi wa huko daawaaasiiko imekuaje tena wajuzi wa mambo mtujuze.nimearifiwa watu huko wanaoga mara moja kwa mwezi loh!Kwa Sasa maji kwenye jiji la Dar ni anasa.
Wakati wa JPM wauza maji walihamia kwenye bajaji, Bodaboda na Taxi. Kwa Sasa watu wananunua magari ya kuuzia maji.
Waziri awezo hukujifunza utendaji chini ya JP Magufuli? Embu mtusaidie hii adha ya maji.
No it's more than a week...dah balaaTuna siku ya nne tabata no water