Mhe. Waziri ninakuandikia ujumbe huu kwa masikitiko makubwa sana. Tatizo la maji hapa Mwanza limekuwa kero kubwa. Kila kukicha maji hayapo kwenye mabomba.
Walitudanganya kuwa kulikuwa na uharibifu kwenye chanzo cha maji Capri Point na tatizo hili lingechukua miezi miwili tu kurekebishwa lakini sasa ni miaka miwili na tatizo bado liko pale pale.
Mhe. Waziri enzi za Ndugu Sanga haya matatizo hayakuwepo na yanaonekana tu kwa huyu Mtendaji wa sasa.
Nakushauri utengue uteuzi wake tuletewe mtu anayetosha kwenye nafasi hiyo.
Pia soma