Dr tupa
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 229
- 170
Haishangazi mkazi wa Mwanza kununua ndoo ya maji Kwa sh.500Mwanza ndo ziwa Victoria lipo je watu wa Singida dodoma
Kanda ya kati wana hali gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haishangazi mkazi wa Mwanza kununua ndoo ya maji Kwa sh.500Mwanza ndo ziwa Victoria lipo je watu wa Singida dodoma
Kanda ya kati wana hali gani?
Hili suala ni aibu sana kwa chama changu ccmMhe. Waziri ninakuandikia ujumbe huu kwa masikitiko makubwa sana. Tatizo la maji hapa Mwanza limekuwa kero kubwa. Kila kukicha maji hayapo kwenye mabomba.
Walitudanganya kuwa kulikuwa na uharibifu kwenye chanzo cha maji Capri Point na tatizo hili lingechukua miezi miwili tu kurekebishwa lakini sasa ni miaka miwili na tatizo bado liko pale pale.
Mhe. Waziri enzi za Ndugu Sanga haya matatizo hayakuwepo na yanaonekana tu kwa huyu Mtendaji wa sasa.
Nakushauri utengue uteuzi wake tuletewe mtu anayetosha kwenye nafasi hiyo.
Pia soma
Yes, ukiomba vibali kutoka ofisi za mabondeHvi inaruhusiwa kuvuta maji moja kwa moja mpka nyumbani kutoka ziwani
Hata majina tunayo6umia yanasadifu udhaifu wetu" watumishi wa mwauwasa" hivyo wanawajibika zaidi kwa mwauwasa kuliko wananchi ambao kimsingi ndio wenye mali.Kwa nini tunalipa kodi, kwanini tunalipia bili za maji, Kwa nini Watendaji wa MWAUWASA wamewekwa pale ofisini. Sisi ni wananchi tunatakiwa tupate huduma kutoka Serikalini kwa sababu tunalipa kodi. Mambo ya kunieleza kuwa nichimbe kisima is none of my business. Hata ukichimba kisima hao hao MWAUWASA watakutembelea na kukuamuru ulipie hicho kisima. Hii nchi tuiombee sana kwa Mwenyezi Mungu. Kwa nini Ndugu Sanga was so smart?.
Maji yanatoka mara ngapi kwa wiki mkuuHata majina tunayo6umia yanasadifu udhaifu wetu" watumishi wa mwauwasa" hivyo wanawajibika zaidi kwa mwauwasa kuliko wananchi ambao kimsingi ndio wenye mali.
Kwa shida ya maji ilivyo mza, nisingetegemea viongozi kuanzia RC hadi diwqani wakafanya shuhhuli nyingine zaidi ya kushinda na kulala kwenye chanzo cha tatizo. Lakini wafanye hivyo kwa kumhofia nani? Hawa wanaofikiri kutatua tatizo ni kuchimba kisima uani kwako!?
Hakuna ratiba inafuatwa mkuu. Na taarifa ndio hivyo.Maji yanatoka mara ngapi kwa wiki mkuu
Nyie bhana mnatakiwa mchague moja kati ya show za Diamond au kutatuliwa kero zenu.Mhe. Waziri ninakuandikia ujumbe huu kwa masikitiko makubwa sana. Tatizo la maji hapa Mwanza limekuwa kero kubwa. Kila kukicha maji hayapo kwenye mabomba.
Walitudanganya kuwa kulikuwa na uharibifu kwenye chanzo cha maji Capri Point na tatizo hili lingechukua miezi miwili tu kurekebishwa lakini sasa ni miaka miwili na tatizo bado liko pale pale.
Mhe. Waziri enzi za Ndugu Sanga haya matatizo hayakuwepo na yanaonekana tu kwa huyu Mtendaji wa sasa.
Nakushauri utengue uteuzi wake tuletewe mtu anayetosha kwenye nafasi hiyo.
Pia soma
Wanata vyote show za bure za Diamond na maji,inabidi wachague moja.Ukija tena uchaguzi mtaipitisha ccm kwa kishindo mda mwingine mtanzania sio wa kuwaonea
Ukimwambia ipiganie nchi yako hataki anaogopa anasema bora ashangalie simba na yanga na abet
Kwa mtqzamo wangu wamechagua show za dimond zinazofanyika kwa saa tatu naa wakitoka hapo wana beba vidumu vya maji kupandisha milimani!Nyie bhana mnatakiwa mchague moja kati ya show za Diamond au kutatuliwa kero zenu.
Wanafikiri show ni bure kumbe pesa zinatoka kwenye fungu la mradi wa maji.Kwa mtqzamo wangu wamechagua show za dimond zinazofanyika kwa saa tatu naa wakitoka hapo wana beba vidumu vya maji kupandisha milimani!
Tena mkuu wa mkoa anaenda kwenye show ya diamond kuwapiga vijembe chademaHata majina tunayo6umia yanasadifu udhaifu wetu" watumishi wa mwauwasa" hivyo wanawajibika zaidi kwa mwauwasa kuliko wananchi ambao kimsingi ndio wenye mali.
Kwa shida ya maji ilivyo mza, nisingetegemea viongozi kuanzia RC hadi diwqani wakafanya shuhhuli nyingine zaidi ya kushinda na kulala kwenye chanzo cha tatizo. Lakini wafanye hivyo kwa kumhofia nani? Hawa wanaofikiri kutatua tatizo ni kuchimba kisima uani kwako!?
Sijui kama unaijua shida ya maji wewe; unalia huna ajira halafu unataka uletewe maji nyumbani wakati ziwa liko mita 100 kutoka ulipo acha uzembe na ulege legeAcha kejeli,Mimi mwenyewe ni mkazi wa Mwanza,anachosema ni kweli,maji ni shida sana!
Huu ndio utanzania halisi. Umimi miwiingi. Hapa unaongelea mtu mmoja au hata 100 kupata kipato kutokana na tatizo hilo ilihali maelfu wanakosa huduma hiyo muhimu.Sijui kama unaijua shida ya maji wewe; unalia huna ajira halafu unataka uletewe maji nyumbani wakati ziwa liko mita 100 kutoka ulipo acha uzembe na ulege lege
UmemalizaMhe. Waziri ninakuandikia ujumbe huu kwa masikitiko makubwa sana. Tatizo la maji hapa Mwanza limekuwa kero kubwa. Kila kukicha maji hayapo kwenye mabomba.
Walitudanganya kuwa kulikuwa na uharibifu kwenye chanzo cha maji Capri Point na tatizo hili lingechukua miezi miwili tu kurekebishwa lakini sasa ni miaka miwili na tatizo bado liko pale pale.
Mhe. Waziri enzi za Ndugu Sanga haya matatizo hayakuwepo na yanaonekana tu kwa huyu Mtendaji wa sasa.
Nakushauri utengue uteuzi wake tuletewe mtu anayetosha kwenye nafasi hiyo.
Pia soma
Mhe. Waziri ninakuandikia ujumbe huu kwa masikitiko makubwa sana. Tatizo la maji hapa Mwanza limekuwa kero kubwa. Kila kukicha maji hayapo kwenye mabomba.
Walitudanganya kuwa kulikuwa na uharibifu kwenye chanzo cha maji Capri Point na tatizo hili lingechukua miezi miwili tu kurekebishwa lakini sasa ni miaka miwili na tatizo bado liko pale pale.
Mhe. Waziri enzi za Ndugu Sanga haya matatizo hayakuwepo na yanaonekana tu kwa huyu Mtendaji wa sasa.
Nakushauri utengue uteuzi wake tuletewe mtu anayetosha kwenye nafasi hiyo.
Pia soma
Tayari keshaliwa kichwaMhe. Waziri ninakuandikia ujumbe huu kwa masikitiko makubwa sana. Tatizo la maji hapa Mwanza limekuwa kero kubwa. Kila kukicha maji hayapo kwenye mabomba.