Tatizo la Manchester United ni nini haswa?

Tena mgomo kwelikweli
 
Matatizo yamekuwepo kabla hata Mount hajanunuliwa japo hata mimi nakuba kuwa Mount amenunuliwa kimakosa.
 
Matatizo yamekuwepo kabla hata Mount hajanunuliwa japo hata mimi nakuba kuwa Mount amenunuliwa kimakosa.
Mount ni kielezo tu tunaanzia usajili wa Maguire kwa gharama kubwa ili wavunje rekodi kisa Waingereza
 
Mount ni kielezo tu tunaanzia usajili wa Maguire kwa gharama kubwa ili wavunje rekodi kisa Waingereza
Maguire siyo mchezaji mbaya Trust me. Japo ni mzito lakini akichezea tumu iliyokamilika hana tatizo. Ngoja nikuambie wachezaji ambao naona siyo wazuri kwa Man United 1. Sancho 2. Mount 3. Dalot 4. Lindelof 5. Malacia 6. Wan Bissaka 7. Van de Beek 8. Martial 9. Anthony (Bruno ni mchezaji wa ''moments'', anaweza kuwa mzuri sana au mbaya sana. Marcus naye hivyo hivyo.) Kwa kifupi United left backs na wingers siyo wazuri. Marcus anacheza kama winger lakini muda wote anataka kuingia ndani ili a-shoot.
 
Mkuu hii ni joke tu, ni meme ya kututania, binafsi ni shabiki kindakindaki wa hili timu, nipo nawaza hapa Mason Mount anachezaje Man u na Max Zengeli yupo Yanga.
 


Sent using Jamii Forums mobile app
 
ETH ukimsikiliza man u imemshinda na haoni atainusuru vipi huko mbeleni

Anasema kabisa Never hawawez kucheza Kama Ajax ,na ukifikiria amesajili wachezaji anaowataka yeye wengi tu


Bora angesema apewe muda a fix matatizo, ndio kwanza kawakatisha tamaa anasema hilo Jambo haliwezekani
 
Nakubaliana wewe Mkuu je, ukosefu wa ushindani wa namba unachangia viwango kuwa chinii mfano Rashford ameridhika anacheza kifazaa khs Maguire sio mbaya shida bei yake haiendani kabisa ilichangiwa na Uingerez wake
 
Sasa hivi hata timu kama Leicester zinatamani zipande daraja hata Leo ili zikutane na man UTD imkaange vizuri, ushindani wa kweli msimu huu utatolewa na Liverpool tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…