Tatizo la Manchester United ni nini haswa?

Tatizo la Manchester United ni nini haswa?

Tatizo ni hili mkuu
20231006_201601.jpg
 
Timu ambayo haitaki kusajili wachezaji wa maana wameweka Uingereza mbele kwa kuwanunua bei ghali bila sababu yaani Utd ndo ya kulipa mileha kibao kwa Mount halafu unasubiria wachezaji wa mikopo timu iendee sasa ni bora liende bila mgomo wa mashabiki haitoboi
Tena mgomo kwelikweli
 
Matatizo yamekuwepo kabla hata Mount hajanunuliwa japo hata mimi nakuba kuwa Mount amenunuliwa kimakosa.
 
Matatizo yamekuwepo kabla hata Mount hajanunuliwa japo hata mimi nakuba kuwa Mount amenunuliwa kimakosa.
Mount ni kielezo tu tunaanzia usajili wa Maguire kwa gharama kubwa ili wavunje rekodi kisa Waingereza
 
Mount ni kielezo tu tunaanzia usajili wa Maguire kwa gharama kubwa ili wavunje rekodi kisa Waingereza
Maguire siyo mchezaji mbaya Trust me. Japo ni mzito lakini akichezea tumu iliyokamilika hana tatizo. Ngoja nikuambie wachezaji ambao naona siyo wazuri kwa Man United 1. Sancho 2. Mount 3. Dalot 4. Lindelof 5. Malacia 6. Wan Bissaka 7. Van de Beek 8. Martial 9. Anthony (Bruno ni mchezaji wa ''moments'', anaweza kuwa mzuri sana au mbaya sana. Marcus naye hivyo hivyo.) Kwa kifupi United left backs na wingers siyo wazuri. Marcus anacheza kama winger lakini muda wote anataka kuingia ndani ili a-shoot.
 
Hawa si walikuwa na ugomvi wa kifamilia. Inaingia akilini kweli kusema Paul Pogba afanikiwe kufukia fisi katikati ya uwanja wa Old Trafford bila issue kuvuja? Yaani hamna kamera na aliingiaje na fisi pale mlangoni bila kuonwa ina maana watu wanaoingia Old Trafford hawapitii ukaguzi?

Kuna maswali mengi mno! Kwa hii posti sina ninachokiamini hata kwa asilimia 1
Mkuu hii ni joke tu, ni meme ya kututania, binafsi ni shabiki kindakindaki wa hili timu, nipo nawaza hapa Mason Mount anachezaje Man u na Max Zengeli yupo Yanga.
 
Hivi karibuni kumekuwa na hali ya kukera inayotokana na Manchester United kupoteza kwa mfululizo na malalamiko kutoka kwa wachezaji ambayo yamekithiri.

Kiundani sababu ya Manchester United kuwa hivi ni nini? Ni coach? Management? Sera? Wamiliki? Au ushindani wa EPL umekuwa mkubwa?

UPDATES:
Katika msimu huu wa mwaka 2023/24 Manchester United imecheza mechi 10 na kushinda mechi 5 tu na kupoteza mechi 5 zote.

Manchester ipo katika nafasi ya nane kati ya timu 20 zinazoshiriki ligi kuu ya English Premier League (EPL).

english premier league table
View attachment 2797739
IMG-20231030-WA0040.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ETH ukimsikiliza man u imemshinda na haoni atainusuru vipi huko mbeleni

Anasema kabisa Never hawawez kucheza Kama Ajax ,na ukifikiria amesajili wachezaji anaowataka yeye wengi tu

Bora angesema apewe muda a fix matatizo, ndio kwanza kawakatisha tamaa anasema hilo Jambo haliwezekani
 
Maguire siyo mchezaji mbaya Trust me. Japo ni mzito lakini akichezea tumu iliyokamilika hana tatizo. Ngoja nikuambie wachezaji ambao naona siyo wazuri kwa Man United 1. Sancho 2. Mount 3. Dalot 4. Lindelof 5. Malacia 6. Wan Bissaka 7. Van de Beek 8. Martial 9. Anthony (Bruno ni mchezaji wa ''moments'', anaweza kuwa mzuri sana au mbaya sana. Marcus naye hivyo hivyo.) Kwa kifupi United left backs na wingers siyo wazuri. Marcus anacheza kama winger lakini muda wote anataka kuingia ndani ili a-shoot.
Nakubaliana wewe Mkuu je, ukosefu wa ushindani wa namba unachangia viwango kuwa chinii mfano Rashford ameridhika anacheza kifazaa khs Maguire sio mbaya shida bei yake haiendani kabisa ilichangiwa na Uingerez wake
 
Sasa hivi hata timu kama Leicester zinatamani zipande daraja hata Leo ili zikutane na man UTD imkaange vizuri, ushindani wa kweli msimu huu utatolewa na Liverpool tu.
 
Back
Top Bottom