Anasikia kiasi fulani, yaani akiwa karibu mnawlewana tu.kubaliana na hali halisi mpeleke vituo vya viziwi
Anasikia kiasi fulani, yaani akiwa karibu mnawlewana tu.
Regency uliyosema, ni ile iliyopo Aga Khan road, ukitoka fire unaipita Msimbazi Road ukiendelea na Morogoro Road halafu mbele kidogo unakatia kushoto?tafuta namna ufike muhimbili au regency
yap mkuu ni hiyo.Regency uliyosema, ni ile iliyopo aly khan road, ukitoka fire unaipita msimbazi road ukiendelea na morogoro road halafu mbele kidogo unakatia kushoto?
Unaweza kuwa unajua gharama zao?yap mkuu ni hiyo.
siwezi guarantee ila kumuona specialist ni kama 30, gharama nyingine ni kutokana na matibabu na vipimo pamoja na dawa. jitahidi uende its worth going there.Unaweza kuwa na aidia ya gharama zao?
Unaweza kumuona daktari labda umasafiri kutoka Kigoma halafu tiba ukaambiwa laki nane!siwezi guarantee ila kumuona specialist ni kama 30, gharama nyingine ni kutokana na matibabu na vipimo pamoja na dawa. jitahidi uende its worth going there.
wewe uko wapi, nilidhani uko Dar kama Mkoani kweli gharama inaweza kuwa changamoto.Unaweza kumuona daktari labda umasafiri kutoka kg halafu tiba ukaambiwa laki nane!
Ha ha ha ha !
Nashauri uende Muhimbili uonane na madaktari bingwa wa ENT na/au Uende EKENYWA ya Dr. Ole pale Nyuma ya Petrol Station ya mwembechai. Dr. Ole na hiyo hospital yake ni mabingwa wa ENT (Ear, Nose & Throat) yaani masikio, Pua na koo......
Nilimpeleka hospitali zetu za kiswahili, akapimwa na akaandikiwa dawa, tena za bei ghari nilizinunua akazitumia wala hazikumpa nafuu yoyote.
.....