Tatizo la masikio: Fahamu kuhusu sehemu za sikio, magonjwa, ushauri na tiba

Tatizo la masikio: Fahamu kuhusu sehemu za sikio, magonjwa, ushauri na tiba

pole mkuu..hio shida yako inabid umuone daktari bingwa wa magonjwa ya pua,sikio na koo (ENT Surgeon). unaweza kuwa na Vestibular Disease ila kwa kuanzia tumia Meclizine 50mg mara 2 kwa cku (tafuta dawa inaitwa vomidoxine ina hio meclizine). ila fanya mchakato uwaone hao mdaktari hapo juu

Asante mkuu, nashukuru kwa ushauri wako.
 
dwoxye una tatizo la kukosa balance na huwa unahisi masikio kuziba? Mimi sio daktari ila dalili za tatizo lako zinafanana na dalili za otitis media(sikio la nje kujaa uchafu).
 
Last edited by a moderator:
Possibility nyingine, jaribu kukutana na daktari wa matatizo ya ubongo i.e neurologist dalili ulizonazo zinaonesha kunaweza kuwa na tatizo katika eneo linalohusiana na balance ambalo hushirikiana na masikio, jaribu kwenda muhimbili mapema, kusije kuwa na uvimbe unaanza maana hiyo huleta kichwa kuuma sana na kutapika kwa sababu ya kuongezeka kwa pressure ya maji yanayouzunguka ubongo. Ni kati ya hili nililosema au hiyo uliyoambiwa hapo "vestibular disease". Ni muhimu kuwahi kwa mabingwa otherwise utaendelea kuambiwa una malaria
 
Kwanza natanguliza shukrani kwa JF wote na hasa madokta wa JF kwa moyo wao wa kujituma.

Mimi nina tatizo la sikio langu la kulia kutoa usaha, na hili tatizo limeshakuwa la muda mrefu,nimeshajaribu kutumia dawa za kienyeji mpaka za hospitalini lakini ninachoambulia ni kustop kwa mda and then tatizo unirudia tena.

Naombeni msaada tafadhali.

Mkuu nenda pale kwa kairuki hospital, utapata ufumbuz. mim nishasumbuliwa na hilo tatizo nikaenda pale nikapona. unaweza kutumia bima ya afya
 
Asante sana kwa kutoa elimu ya bure kabisa kwa watanzania. Mungu azidi kukupa pumzi ili watanzania waendeleee kunufaika. Nimewahi kusikia mtabibu mmoja akisema, mafuta ya kenge, ni dawa nzuri sana ya sikio linalo toa usaha. Kuna ukweli wowote katika hilo ?
Mkuu LIKUD Mafuta ya kenge ni Dawa ya maradhiya Masikio hata Juisi ya kitunguu Maji pia ni dawa ya maradhi ya masikio na hata mafuta ya kuku pia ni Dawa ya maradhi ya masikio.NiKweli hujakosea Mkuu LIKUD.
 
Last edited by a moderator:
Babe usiweke chochote hapo wanachokuambia please,,, mimi najuta,, sijui mafuta ya kuku, sijui mkojo wa punda, nilikuwa natoka usaha toka utoto wangu nikatumia madawa meengi yakasababisha ngoma yote ikalika ndani sasa hivi ninavyoongea nimefanyiwa operation nina ngoma bandia,,,, ushauri wangu tafuta hela nenda kenya kuna daktari alinihudumia mm hope utapona,,kwa maelezo zaidi kuhusu huyo daktari nenda CCBRT msasani,, please madawa mengine ni kemikali tu pata ushauri wa daktari kwanza mi sa hiv ndo hivyo tena,, jisafishe vizuri weka pamba Mungu akuponye
 
Jaribu Dawa yangu kisha unipe feedback chukua punje tatu za kitunguu thaumu uziponde kisha utie maji kijiko kimoja achanganye vizuri.Halafu uchukue mchanganyiko huo vitone vitatu utie kwenye sikio linalouma mara mbili kwa siku muda wa wiki. Inshaallah sikio litapona.
Mkuu je kama ngoma zinavitobo naruhusiwa kutumia vitunguu saumu?
 
Habari Wana JF!

sikio langu upande wa kushoto linaunguruma kwa mwaka wa saba sasa, haliumi wala kutoa usaha.
tafadhali mwenye kujua dawa ya ili tatizo anishauri kwasababu nimejaribu sana kutatua ili tatizo bila mafanikio.

Asanteni.
 
Jaribu Dawa yangu kisha unipe feedback chukua punje tatu za kitunguu thaumu uziponde kisha utie maji kijiko kimoja achanganye vizuri.Halafu uchukue mchanganyiko huo vitone vitatu utie kwenye sikio linalouma mara mbili kwa siku muda wa wiki. Inshaallah sikio litapona.
we mzizimkavu maumivu vp
 
Habari Wana JF!

sikio langu upande wa kushoto linaunguruma kwa mwaka wa saba sasa, haliumi wala kutoa usaha.
tafadhali mwenye kujua dawa ya ili tatizo anishauri kwasababu nimejaribu sana kutatua ili tatizo bila mafanikio.

Asanteni.
Pole mkuu
Je ni kiziwi ?
 
nipo kaka yule jamaa ulienipa namba yake tunaendelea kuwasiliana na kuna mikakati anaiweka sawa
Nimefurahi kaka but naona ile special thread hakuna mwamko...wapo viziwi wengi humu JF lakini wanajificha tu
Kumbuka Umoja ni nguvu
 
we mzizimkavu maumivu vp
Zipo tiba mbalimbali za sikio linapokuwa na maumivu, lakini kwa leo nitakufahamisha hii ya kutumia kitunguu maji ambacho ni rahisi hata kukipata katika mazingira yetu ya kila siku.

Unachopaswa kufanya ili kukamirisha tiba hii ni kuchukua kitunguu maji kisha tengeneza juisi yake na baadaye utatumia matone matatu hadi matano katika sikio.




Fanya hivyo, mara tatu kwa siku kwa muda wa siku tano, Tiba hii ni mahususi kwa sikio linalouma au ambalo limeziba kutokana na kujaa nta.
 
Mkuu je kama ngoma zinavitobo naruhusiwa kutumia vitunguu saumu?
Unaweza kutumia Kitunguu saumu.

DAWA ZA KUJITIBU MARADHI YA MASIKIO:

i. Nyunyiza juisi ya Kitunguu saumu katika sikio linalouma

ii. Nenda Hospitali ukapigwe bomba ili maji na uchafu upate kutoka

iii. Pasha moto mafuta ya Zaituni (Olive oil) na yasubiri yapowe na ujitie drops mbili hadi 3
 
Back
Top Bottom