Tatizo la masikio: Fahamu kuhusu sehemu za sikio, magonjwa, ushauri na tiba

Pole sana ndugu nakuombea kwa Mungu upone hiyo hali.

Mimi Kuna mwaka flani hivi ilinitokezea hali kama hiyo lkn langu lilifanya kuziba na sikuwa nikisikia chochote upande mmoja WA sikio hilo kwa bahati mzuri kuna dawa ya mafuta ya asili hivi nilipewa na mtu nilikuwa naingiza matone ya dawa ile kwa muda wa siku chache na Ile hali ikaniondokea.

upo wapi wewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nko dar ea salaam

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hali kama hii ilikuwa inanitokeaga usiku nikishtuka usingizini na asubuhi kama nikiwahi kuamka
Inatisha kidogo kama hujui lakini kwangu mimi ilikuwa nikitoka nje ya nyumba hali hii huisha yenyewe. Na kipindi hichohicho kuna muda nilikuwa nikikaa peke yangu hasa maeneo ya porini hali hii hunitokea
Wakati huo nilikuwa na umri wa miaka 12 na hali hii ilidumu kwa miezi 7-9 ikaisha yenyewe.

Sasa bwana juzijuzi mwaka 2014 nikakutana na masomo ya meditation ya akina
pasco Rakims Mshana Jr MziziMkavu Pascal Mayalla si nikaamua kuyafanyia kazi! Huwezi amini hali ile ya utotoni ilirudia upya tena kwa kasi zaidi, nikawa kila nikianza kufanya meditation huchukua dakika kama 2-3 naanza kusikia sauti kama upepo mkali ukivuma kwenye masikio yangu au kama vile kuna mashine za kusaga mahindi zimetegeshwa kwenye masikio yangu yote [emoji23]
Basi ikawa kila nikiona hivo naacha narudia tena kesho yake lakini hali ikawa ni ileile. Nikaona isiwe tabu nikaacha kabisa japo sikumwambia mtu hadi mwaka 2016 nilipokuwa napiga stori na Muhindi mmoja pale stendi kuu ya Kigoma kuhusiana na maswala ya meditation ndipo nikamweleza changamoto zangu kwenye kutoka out of body/kutoka nje ya mwili na kuopen third eye, sasa nilipogusia hili jambo akaniambia sio ugonjwa eti ni stage kwa wanaoanza meditation.

Akaendelea kuniambia kwamba, watu wenye kukutwa na hali kama hii ni watu makini sana na ni watu wenye hazina kubwa ya nguvu za kiroho.
Nilipomwuliza mwarobaini wa tatizo hilo akanijibu kwamba pindi niwapo katika mazoezi ya kutafakari, hali hii ikitokea nisiwe na hofu bali niendelee kuhesabu pumzi tu bila kuyumbisha akili yangu.

Kwakuwa nina tabia ya kupenda kujua jambo kwa undani zaidi na shauku yangu ilikuwa ni eidha kufungua jicho la tatu au kutoka nje ya mwili, sikuendelea na maswali zaidi bali nilifanya kumkwepa ili nikaweke mazingira yangu fresh ili usiku huo nikaanze tena mambo yangu.

Usiku ulipofika nikapiga mazoezi yangu ya kawaida ili nilale walau masaa mawili kisha niamke kutimiza lengo langu la eidha kufungua jicho la tatu au kutoka nje ya mwili kwenda kutalii huko kunakosemekana kuwa ni kuzuri sana.

Basi nikapiga mazoezi yangu kisha nikatega alam ya saa nane usiku kisha nikalala.
Muda ulipofika nikaamka nikavuta pumzi kubwa tatu za nguvu nikakaa mtindo wa yoga kwa dakika chache kisha nikalala chali na kuanza kuhesabu pumzi taratibu.

Haikunichukua hata dakika moja ile hali ikaanza! Nikakaza akili na kuvumilia kama alivonielekeza mara nikaanza kusikia sauti za ajabuajabu..... Nilipozichunguza nikagundua kuwa nasikia sauti za majirani [emoji23] (sauti zenyewe sio sauti halisi bali ni mawazo ya watu waliolal/mawazo ya watu)
Kwakweli nilionaona maajabu yaliyoambatana na furaha ambayo sikuwahi kuiexperience tangu kuzaliwa kwangu. Hadi sasa najiuliza sisi binadamu ni tumetoka wapi maana kuna vitu ukifanya waweza jishangaa mwenyewe

Hadi leo hali kama hii yako hunitokea tu pale ninapoanza kufanya meditation na baada ya dakika chache kama sii moja ya mwanzo hali hii hutoweka kabisa.

Mkuu ushauri wangu kwako jaribu kuichanganya na watu na usipende kukaa peke yako kwa muda mrefu

Kuna namna isiyoelezeka ambayo mimi naweza kukabili hii hali endapo ikinitokea pasipo kutarajia. Ni kama kuiamuru kutokea ndani mwangu nayo hutoweka sekunde hiyohiyo
 
Pole sana Miriam,
Nimegoogle kwa mujibu wa maelezo yako nikakutana na ugonjwa wa Tinittus.Sijui kama umewahi kuusikia ...

https://www.emedicinehealth.com/tin...al_or_home_remedies_to_provide_symptom_relief
https://www.webmd.com/a-to-z-guides/understanding-tinnitus-basics#2

Kwa kuangalia hizo link 2, je unafikiri una dalili za hiyo Tinittus?

Ni maombi yangu kuwa upone.
Tinittus sio ugonjwa ni dalili ya ugonjwa ambao unaathiri sikio kwa namna moja au nyingne mfano nta za sikio zinaweza tukua imejaa na kuziba ukapata hyo tinittus, mshipa wa faham unaoshugulika na mambo ya usikiv na balance unaweza umeathirika ukapata iyo tinittus. Pia kunaweza kua na shida katika ubongo eneo linaloshughulikia kusikia na balance ukapata hiyo tinnitus.

Kwa kifupi tinittus ni hal ya kusikia kelele katika masikio yako inaweza kua upande mmoja au masikio yote.

Tinittus inaweza kutibika kama tatzo lolote litakalokutwa kwenye ubongo au masikio yako.

Lakin kuna nyingne unaweza pima usikute tatzo hiyo kuna dawa unaweza patiwa likaisha lakin kuna nyingne huisha yenyew kama ilivoanza.

Nakushauri fika hospitali kubwa muhimbili, bugando au Benjamin Mkapa naamin litapata ufumbuzi hilo tatzo. Pole sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una imani gani?? Nenda kwenye maombi kanisa la kipentecoste yaani wanao amini nguvu za Roho Mtakatifu. Sijakutuma kwa mitume na manabii. Fika na chini ya dakika 10 wewe unakuwa huru. Maombi yao ni bure kabisa hutoi hata yai.
Kama vipi njoo PM
 
Tinittus sio ugonjwa ni dalili ya ugonjwa ambao unaathiri sikio kwa namna moja au nyingne mfano nta za sikio zinaweza tukua imejaa na kuziba ukapata hyo tinittus, mshipa wa faham unaoshugulika na mambo ya usikiv na balance unaweza umeathirika ukapata iyo tinittus. Pia kunaweza kua na shida katika ubongo eneo linaloshughulikia kusikia na balance ukapata hiyo tinnitus.

Kwa kifupi tinittus ni hal ya kusikia kelele katika masikio yako inaweza kua upande mmoja au masikio yote.

Tinittus inaweza kutibika kama tatzo lolote litakalokutwa kwenye ubongo au masikio yako.

Lakin kuna nyingne unaweza pima usikute tatzo hiyo kuna dawa unaweza patiwa likaisha lakin kuna nyingne huisha yenyew kama ilivoanza.

Nakushauri fika hospitali kubwa muhimbili, bugando au Benjamin Mkapa naamin litapata ufumbuzi hilo tatzo. Pole sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
yes, nadhani afike hospitali kubwa wafanye MRI au CT Scan kuona mfumo mzima kichwani kwa ma super specialist inaweza kuwa swala la kutatulika
 
Hali kama hii ilikuwa inanitokeaga usiku nikishtuka usingizini na asubuhi kama nikiwahi kuamka
Inatisha kidogo kama hujui lakini kwangu mimi ilikuwa nikitoka nje ya nyumba hali hii huisha yenyewe. Na kipindi hichohicho kuna muda nilikuwa nikikaa peke yangu hasa maeneo ya porini hali hii hunitokea
Wakati huo nilikuwa na umri wa miaka 12 na hali hii ilidumu kwa miezi 7-9 ikaisha yenyewe.
Sasa bwana juzijuzi mwaka 2014 nikakutana na masomo ya meditation ya akina pasco @racim Mshana Jr si nikaamua kuyafanyia kazi! Huwezi amini hali ile ya utotoni ilirudia upya tena kwa kasi zaidi, nikawa kila nikianza kufanya meditation huchukua dakika kama 2-3 naanza kusikia sauti kama upepo mkali ukivuma kwenye masikio yangu au kama vile kuna mashine za kusaga mahindi zimetegeshwa kwenye masikio yangu yote [emoji23]
Basi ikawa kila nikiona hivo naacha narudia tena kesho yake lakini hali ikawa ni ileile. Nikaona isiwe tabu nikaacha kabisa japo sikumwambia mtu hadi mwaka 2016 nilipokuwa napiga stori na Muhindi mmoja pale stendi kuu ya Kigoma kuhusiana na maswala ya meditation ndipo nikamweleza changamoto zangu kwenye kutoka out of body/kutoka nje ya mwili na kuopen third eye, sasa nilipogusia hili jambo akaniambia sio ugonjwa eti ni stage kwa wanaoanza meditation.
Akaendelea kuniambia kwamba, watu wenye kukutwa na hali kama hii ni watu makini sana na ni watu wenye hazina kubwa ya nguvu za kiroho
Nilipomwuliza mwarobaini wa tatizo hilo akanijibu kwamba pindi niwapo katika mazoezi ya kutafakari, hali hii ikitokea nisiwe na hofu bali niendelee kuhesabu pumzi tu bila kuyumbisha akili yangu.
Kwakuwa nina tabia ya kupenda kujua jambo kwa undani zaidi na shauku yangu ilikuwa ni eidha kufungua jicho la tatu au kutoka nje ya mwili, sikuendelea na maswali zaidi bali nilifanya kumkwepa ili nikaweke mazingira yangu fresh ili usiku huo nikaanze tena mambo yangu.
Usiku ulipofika nikapiga mazoezi yangu ya kawaida ili nilale walau masaa mawili kisha niamke kutimiza lengo langu la eidha kufungua jicho la tatu au kutoka nje ya mwili kwenda kutalii huko kunakosemekana kuwa ni kuzuri sana.
Basi nikapiga mazoezi yangu kisha nikatega alam ya saa nane usiku kisha nikalala.
Muda ulipofika nikaamka nikavuta pumzi kubwa tatu za nguvu nikakaa mtindo wa yoga kwa dakika chache kisha nikalala chali na kuanza kuhesabu pumzi taratibu.
Haikunichukua hata dakika moja ile hali ikaanza! Nikakaza akili na kuvumilia kama alivonielekeza mara nikaanza kusikia sauti za ajabuajabu..... Nilipozichunguza nikagundua kuwa nasikia sauti za majirani [emoji23] (sauti zenyewe sio sauti halisi bali ni mawazo ya watu waliolal/mawazo ya watu)
Kwakweli nilionaona maajabu yaliyoambatana na furaha ambayo sikuwahi kuiexperience tangu kuzaliwa kwangu. Hadi sasa najiuliza sisi binadamu ni tumetoka wapi maana kuna vitu ukifanya waweza jishangaa mwenyewe

Hadi leo hali kama hii yako hunitokea tu pale ninapoanza kufanya meditation na baada ya dakika chache kama sii moja ya mwanzo hali hii hutoweka kabisa.

Mkuu ushauri wangu kwako jaribu kuichanganya na watu na usipende kukaa peke yako kwa muda mrefu

Kuna namna isiyoelezeka ambayo mimi naweza kukabili hii hali endapo ikinitokea pasipo kutarajia. Ni kama kuiamuru kutokea ndani mwangu nayo hutoweka sekunde hiyohiyo

Mkuu hebu google tinittus.

Wanadai hii tinnitus inajidhihirisha zaidi ukiwa sehemu tulivu au usiku ambapo hamna kelele.
 
Nadhani itakuwa ndio yenyewe
Kuna wengine husikia muziki fulani waliowahi kuusikia utotoni. Mara nyingi mtu mwenye tatizo hili akifanya mazoezi ya meditation kwa umakini anaanza kuzigundua sauti husika
Kuna bibi mmoja nilisikia wakimtangaza BBC mwaka 2013 mwenye tatizo hili sema yeye husikia muziki mmoja ambao ulikuwa maarufu miaka ya 50
Pia kuna nadharia zinasema kwa wale wanaosikia sauti zisizoeleweka, kama wakizifatilia wanakumbuka maisha yao kabla ya kuzaliwa
 
Mmh aisee
 
Back
Top Bottom