Tatizo la masikio: Fahamu kuhusu sehemu za sikio, magonjwa, ushauri na tiba

Hicho kizunguzungu husababishwa na mishipa ya fahamu kwenye masikio kuwa mibovu.. Kuna dawa ya mishipa inaitwa neuroton inaweza kukusaidia.
Sorry Mimi nilienda hospital nikapimwa nikaambiwa nina maambukizi ya helicobacter,nikaandikiwa heligo kit nitumie, lakin nina vidonda vya tumbo ambavyo vimenitoa kama vijipele kwenye koo kwa nyuma kule,kula nakula vizuri na siumii,

tatizo koo linawaka moto hali hiyo inapelekea masikio kulia kama vile nimechomwa quineni,je tatizo linaweza kuwa SIKIO au ni hivyo vidonda!? Na kizungu zungu kwa mbali sana! Japo bado nipo kwenye dozi!kwa mwenye uzoefu msaada plzz
 
Mkuu ulienda spitali gani?
 
Samahan jaman! Hivi ukiwa na tatizo la vidonda vya tumbo vinavyotokea njia ya kooni, vinaweza usababisha masikio kupiga kelele!? Maana nilipimwa na nikaambiwa nina bacteria helicobacter, lakin sasa kooni kunaungua napk masikio ila la upande wa kishoto
Hili tatizo ninalo msaada tafadhari
 
Mimi pia nilipona kwa kutumia bangi hiyo ni tiba bora ya sikio
 
Inaweza kuwa na uhusiano.
Maana Mimi ilianza Kama Koo, kiungulia, mwisho was siku masikio na tatizo la kukosa balance
 
Inaweza kuwa na uhusiano.
Maana Mimi ilianza Kama Koo, kiungulia, mwisho was siku masikio na tatizo la kukosa balance
inawezekana Maana nahisi kizunguzungu, miguu haina nguvu kuna muda macho yanaona hafifu sana! Ulitumia dawa gani mkuu
 
Kuna
inawezekana Maana nahisi kizunguzungu, miguu haina nguvu kuna muda macho yanaona hafifu sana! Ulitumia dawa gani mkuu
Kuna dawa nilipewa ambayo Ni dozi ya mwezi mzima ila unatakiwa tuu ukamuone daktari maana dalili za magonjwa zina fanana fanana. So unaweza ukatumia hizi kumbe tatizo Hilo auna ukawa unajitengenezea tatizo jingine...

So nivyema kuuzuria kwa mtaalam....ila orodha ya dawa ipo
 
Sh
 
naomba kupewa muongozo kabla ya kwenda hospital
nahisi sauti kama ya maji au upepo ndani ya sikio langu la kushoto. labda tatizo laweza kuwa nini.

Ahsanteni
 
habari wakuu mimi mwezenu huwa masikio yananisumbua yaani sometimes yes sometimes no Nilikuwa nataka kununua hearing aid kikuu je naweza tumia hearing aif bila kupima wakuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…