Tatizo la maumbile ya kiume madogo sana linanitesa sana

Tatizo au malalamiko kuhusu vibamia siku hizi ni wimbo wa taifa, lkn kwa maoni yangu ni kwamba chanzo cha yote hayo ni uvivu wa sisi wanaume. Kama una uume ambao sio mkubwa sana yaan ule wa wa inch 5 au chini ya hapo halafu ukashindwa kumridhisha mwanamke yeye atalalamikia udogo wa uume lkn kumbe shida ipo kwenye matumizi. Muda tunaoutumia pale juu ni mchache sana na tunashindwa kuficha huu udhaifu kwa kubuni utundu ambao utamfanya mwanamke akojoe kabla. Mwanamke akiguswa tu na mikono ya jinsia tofauti zile sehemu hatarishi ni lazima hisia zake zitabadilika. Kama unajijua hauna pumzi ya kutosha au unawahi kumaliza piga show kubwa ya utangulizi. Vitu kama kumfanyia full body massage mwanamke... Kama utamfanyia vzr hii massage mpaka unamaliza mwanamke anakua ameshakojoa hasa ukijua kuifanya kwenye kile kiungo cha kati, kwenye mapaja kwa ndani na kwenye maziwa na pia kujua kutumia vzr ulimi kwenye viungo vya msisimko vya mwanamke. Lkn kubwa zaidi tukumbuke kuwa wasafi. Suala la kunuka mdomo, kunuka pumbu, kuwa na harufu mbaya ya jasho na mengine mengi kama hayo kiukweli yanakata sana stimu unakuta kijana smart kwa mavazi ya nje lkn anavaa boksa moja siku tatu. Kitu kingine wanaume tuache ubinafsi kwenye lile tendo, tunalipua sana sana ndio maana tunalalamikiwa. Mwisho ni suala la kutopenda mazoezi, mwisho wa siku unahangaika na vumbi la kongo ili umridhishe mwanamke wako, guys mazoezi hayaongopi hata kidogo. Fanya mazoezi yawe sehemu yako ya maisha utaona mabadiliko makubwa kwenye mwili wako. Mwanaume ni lazima uzoee mazoezi.

Sent from my TECNO SA1 using JamiiForums mobile app
 
Yeye ndiye mwenye clitoris na G spot, sasa anakupa ushuhuda wewe unaleta undezi [emoji1787][emoji1787]

Hata mimi nashangaa... Kwanza wataalam wanasema ni vigumu sana kuijua G spot hivyo kisimi chatosha sana kumkojoza mwanamke
 
Asante mtaalam
 
Aisee, duh kakaa. Kweli iyo ni ndg. Sema naomba nikuulize swali 1 la kizushi, ushawah kusex Mara ngp maishan mwako?. Ukute ata hujawah ndo mn haikui hiyo,, iko pale pale tu.

Alafu kingine ni haya
1) kuwa na mwanamke ambaye ataikubali Hali yako ww ivyo ulivyo.
2) kbl hujaingia kwa mahusiano, mueleze ukweli huyo mschana kuwa mimi Niko ivi na ivi, je utanikubali?. Sio mnaingia chumbn uko uchi mnaanza kukimbiana na kukutangaza juu.
3). Jiamni pale unapokuwa sita kwa 6 na huyo umpendaye, usiwe muoga wala usiwe na mawazo kuwa atanionaje akiniona ivi. Anza maandalizo mazuri kbs kbl ya tendo. Nilisema maandalizi mazuri nadhani unayafahamu, yale ambayo unaweza mfikisha mwanamke kbl ata hujamuingilia kimwili.
4) Tuseme tu ukweli most ya wanaume wa siku hz hawajui kuandaa, Wana pupa Sana Sana wakifika kwa bed. Yani wako ovyo. Unaweza ukawa na iyo kitu ndogo, ako nasema inch 2 lkn ukamridhisha mwanamke vzr sn kuliko ata yule mwenye gobole
5) punguza kutokujiamini. Inaonekan ww tatizo lako haujiamini ndy maana. Jiamni kuwa ww ni kidume na unaweza kuwa na mahusiano km watu wengine. Haina aja ya kujiogopa. Kwnn uogope kutongoza?. Na ww una haki ya kupendwa km wengine
6) Cha mwisho, Mimi sikushauri utumie ayo madawa ya kuongeza uume, utaja Lia likiongezeka stage ambayo wadada watakukimbia. Jikubali jinsi ulivyo ww kama ww, acha uoga.
7) Tafuta pesa, Kila kitu kinawezekana. [emoji108]
 
Sawa fundi
 
mnavyosemaga deep mnakua mnataka nini sasa?
 
Nimejikuta nacheka.kweli una tatizo
kilichokuchekesha ni nini mkuu !!!

unacheka uvivu wake wa kujiumbia inches mbili wakati wewe ulijiumbia au unaweza kupunguza au kuongeza maumbile yako !!

unajua hadi anafika hapa kuomba ushauri na kuweka aibu yake hapa imemchukua ujasiri kiasi gani ??

umefikiria impact ya neno uliloliandika hapa katika akili ya huyu jamaa, vipi kama anafikiria kujidhuru na labda amekuja kupata ahueni hapa na anakutana na comment kama yako

Je, akifanya chochote kibaya hautokuwa sehemu ya waliochangia ??.

sikuhukumu maana ni sawa kuwa realistic lakini sometimes inabidi tujitahidi kupima matokeo ya maneno yetu mkuu
 
Kwetu hii miti ipo ya kumwaga, na huwa haina matumizi yoyote na huwa iko very giant. Sikujua ina kazi kubwa namna hii[emoji23]


View attachment 1980628

 
Ole wako siku unaenda unakuta tunda lako halipo[emoji23][emoji23]
 
Kama unaweza kumkojoza kwa kisimi round mbili tatu (kisimi ni very sensitive kama kichwa cha uume) kwa nini uhangaike na kutafuta G spot?
Ko bro ww deep huendag...
Unamaliza juujuu
 

Mkuu hizo dawa sijui kama zipo kiuhalisia lakini naamini mimi kutokujua kitu flani haimaanishi kuwa hakipo

Ningekushauri uongee na wazee "Wazee" au masheikh wanaouza dawa za kiislamu waulizie pia. Uzuri wa hii age hawana tamaa sana ya pesa na wana maarifa mengi ya dunia hii, hata kama hajui yeye atakupa njia

Kingine mkuu naelewa ni ngumu kwako kukubaliana na hali uliyokuwa nayo maana kama binadamu hatupendi kuwa tofauti haswaa kwenye hii jamii yetu inayotukuza ngono kuliko kula

Lakini hili lisikupe stress hadi ukaona hakuna maisha bila sex life, sex ni sehemu ya maisha lakini SEX SI MAISHA

kama mtu atakuambia bora afe kuliko kutokuwa na uwezo wa kusex, huyo ni yeye na si wewe.

Wewe angalia vitu gani ulivyobakiza iwe ni kazi, ndugu , marafiki, ndoto zako au vyovyote vimavyokupa furaha na vitumie kuliko kuendelea kuumia na kitu ambacho pengine ni ngumu kukibadilisha

Naelewa ni ngumu hasa kwani pressure na maneno ya familia au watu wanaokufahamu lazma yawepo haswa kwa umri wako wa ndoa. Lakini huo ndio mtihani wako wa kutengeneza uwezo wa kustahimili hizo hukumu na wrong impressions ambazo watu watakuwa nazo juu ya maisha yako maana mwisho wa siku hata uwezo ungekuwa nao bado ungesemwa tu. Kwa hiyo lazma uvae ujasiri wa kutojali maneno ya watu ili uishi kwa furaha yako

NAJUA SI RAHISI lakini ni muhimu ili uishi kwa furaha kuliko kuangalia kasoro zako zaidi kuliko nguvu uliyobaki nayo. Jifunze kuitengeneza furaha yako huku ukiangalia njia za kulitatua ili hata lisipowezekana, utakuwa na sababu za kuendelea kuishi kwa amani na furaha yako ambayo wengine wanaitafuta kupitia pombe , sex au kitu chochote kile

All the best
 
Acha uongo..hupata hamu pia ndani..

#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…