Tatizo la miguu kuwaka moto (neuropathy): Ushauri, Kinga na Tiba

Mzizi M. nahisi na mimi ninalo hili tatizo,ingawa si mara kwa mara lakini in a frequency that i can notice.mara nyingi nikiwa nimelalia mikono au nikivaa viatu vinavyobana kidogo siku moja basi hupata ganzi katika gumba la kushoto kwa siku hata tatu the hupotea.
Pia nina low pressure kisukari nilicheck kama 3 yrs back (sina),kwa post yako i have to do it again (tomorrow-nina mchecheto)
 

Ahsante sana Mkuu Matunyengule......nime note down hizo dawa nafanya mpango wa kwenda kuchukua vipimo.
 
Last edited by a moderator:
Una kilo ngapi wewe? Nanda hospitali kapime ( Ugonjwa wa kisukari,(diabetic polyneuropathy).na upime pia Mapigo ya moyo wako kujuwa unayo High Pressure ngapi?

huwa nasikia kufa ganzi mguu wa kushoto tu ingawa sio mara zote
Una kilo ngapi wewe? Nanda hospitali kapime ( Ugonjwa wa kisukari,(diabetic polyneuropathy) na upime pia Mapigo ya moyo wako kujuwa unayo High Pressure ngapi?
 
Hata mimi nnatatizo hilo, nizaidi ya mwaka sasa....
 
Iam 5.9' my weight plays btn 69kg-72 but most of the time 71kgs.sijui vipimo vya pressure lakini nasumbuliwa na low pressure mara kwa mara hasa joto linapozidi,na issue za macho - usiseme kwa asilimia 90 ziwezi kusahamili mwanga mkali photo fobia siwezi kusoma bila miwani pia sioni mbali .hata nikiamka asubuhi inabidi nijizuie macho yangu kwa dakika kadhaa ndio n1weze kuzoea mwanga wa jua au taa
 
Nitaenda Mkuu
 
Mama yangu miguu inawaka moto sana kwenye unyayo wakati mwingine huwa kama kuna vidonda au kama anakatwakatwa na viwembe kwenye visigino; naombeni msaada
Wa dawa ya kumsaada

Nb anakisukari lakin kama miezi 6 sasa kila akipima iko normal
 
Hebu nenda kwenye kitufe cha search andika hicho kichwa cha habar kuna majibu kibao
 
Hebu nenda kwenye kitufe cha search andika hicho kichwa cha habari kuna majibu kibao
 
Jamani habari zenu wanajukwaa.
Mi nina tatizo la miguu kuchemka,yaani nahisi kama nyayo zimelowekwa motoni naomba ushauri tafadhari, pia nina tatizo la kuhisi kama nina baridi kali upande mmoja wa mwili wangu(wa kulia). Nahisi kama ninakuwa na baridi kali hadi mkono wote wa kulia unakuwa kama umechoka na kulegea.

Msaada please
 
Salam ndugu. Hilo tatizo la miguu kuwaka moto mara nyingi inakuwa ni gesi tumboni. Acidity ikizidi kwenye tumbo husababisha matatizo mengi hata hayo mengine.
 
Nitajie uzito na urefu wako na je muda mwingi huwa unakuwa umekaa au umesimama?
 
Pole sana kuhisi baridi kali

upande wamwili wako na huku mkono wakulia kuchoka ni dalili y wewe kuja kupatwa na ugonjwa wa kiharusi uwe

muangalifu sana Mimi ninakupa dawa yangu ukipona au ikiweza kukusaidia usisite kuja kuleta Feedback au unawezapia

kunitumia email baruwa ya pepe nikupe maelezo kwa kirefu Email Address yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com

kwa mtu ambae mwili wake una waka moto chukua Rawanda na kazbara hindi twanga chemsha kunywa kwani hizo ni

(balghami) itaondoka haraka kunywa glasi 2 kwa siku muda wa siku 7 tu hakikisha umekula usinywe dawa kabla kula

chakula ni khatari. Dawa kazitafute kwenye Maduka ya dawa za kisunna kama upo mjini Dar nenda Sokoni kariakoo

uliza maduka ya dawa za kisunna utapata hizo dawa 2.
 

Duh, ndugu hapo kwenye kuja kupata kiharusi unanitisha..............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…