Tatizo la miguu kuwaka moto (neuropathy): Ushauri, Kinga na Tiba

Tatizo la miguu kuwaka moto (neuropathy): Ushauri, Kinga na Tiba

Wanajamvi habarini za leo

Mimi tatizo langu nasumbuliwa sana na miguu chininya nyao wakati mwingine inawasha washa,nwakati mwingine inachoma choma na kunacwakati inawaka moto, usiku silali kabisa

nimeenda hospitali jimepewa dawa mbali mbali bila mafanikio, nimejaribu dawa za kimasai bado tatizo likompale pale, nimejaribu dawa za kisuni lakini wapi.
Ombi langu kwenu kwa yeyoyote anayejua tiba ya

ugonjwa huu anisaidie karibu mwezi wa pili sasa nateseka. Asanteni nawasilisha.
 
Wengi wamechangia vizuri tu
Ila mimi nakupa uwalisia nilikuwa na tatizo kama lako hilo ,limenisumbua takribani mwaka 1 na nusu
Ilikuwa ni hivi nahisi kama kuna kitu kinateremka kutoka juu kuja chini ya unyayo kisha yanafuhata maumivu makali ya miguu inapata moto katikati ya unyayo inawaka moto mbaka navua viatu, nakanyaga chini ya ardhi,
Lakini wapi
Nikapima presha hosp m,nyamala normal 80-120
Nikapima sukari asubuhi kabla ya kula chochote 5-2
Nikapima damu hp 15
Nikapima chorlestol 190 normal
Nikaenda hosp amana nikapima kipimo cha ECG nipo safi.
Ila kuna misuri midogo midogo ya damu imeziba
Nikaanza kujitibu mimi mwenyewe kupitia tiba mbadala
Asali na mdarasini na maji vugu vugu kila siku asubuhi na jioni wakati wa kulala asali nachanganya na mdarasini peke yake nalamba
Nikapata dawa nyingine tena humu humu
Nikajalibu kupaka mafuta ya ndimu yalio changanywa na mafuta ya kitunguu saum
hivi sasa namshukuru
M,mungu miezi sita imepita miguu haina moto tena wala dalili nimeyasema haya kwa dhati ya moyo wangu na m,mungu shahidi yangu ugua pole swahiba..
 
Pole endelea kuwaona wataalamu wa tiba zote mbili usikate tamaa pakuponea hupajui kingine labda uangalie baadhi ya vyakula unaweza kuwa una allegy navyo inaweza kukusaidia
 
Yanapatikana maduka yote ya dawa za asili na bei yake ni buku 1, (1000
 
Wanajamvi habarini za leo

Mimi tatizo langu nasumbuliwa sana na miguu chininya nyao wakati mwingine inawasha washa,nwakati mwingine inachoma choma na kunacwakati inawaka moto, usiku silali kabisa

nimeenda hospitali jimepewa dawa mbali mbali bila mafanikio, nimejaribu dawa za kimasai bado tatizo likompale pale, nimejaribu dawa za kisuni lakini wapi.
Ombi langu kwenu kwa yeyoyote anayejua tiba ya

ugonjwa huu anisaidie karibu mwezi wa pili sasa nateseka. Asanteni nawasilisha.
Find me 0652832030 or 0712770729
 
I Once had the case like yours,try to take UTI Test and drugs if proved,the case can disappear.
 
Ipo mishipa mingi sana ktk miguu ambayo ina muunganiko na mshipa mkubwa unaoenda mpaka ktk moyo.
Ni vyema kuichua miguu kwa mafuta ya nazi/limao kuelekea ipitapo nishipa ili kuizibua kwani kuna wakati huweza kuwa haipo sawasawa.

Mchuaji akuchue mpaka utamani kukimbia ndo utapata unafuu zaidi.
 
1. ni hospitali gani uliyoenda?
2. je kwa wakati huu umepata ufumbuzi?
3. vipimo ulivyopatiwa haviwezi toa majibu ya tatizo lako.

Wakuu, natumai mu wazima.

Kwa muda wa miezi miwili sasa nasumbuliwa na miguu ambapo inawaka moto na joints za vidole vya miguu zinauma balaa, maumivu yanaanzia kwenye angle lakini kuanzia hapo kurudi juu (hadi kichwani) niko sawa.

Nimeenda hospitali tatu tofauti mara tano lakini hawaoni ugonjwana nimepima damu,stool na haja ndogo lakini majibu yanaletwa ni kwamba hawaoni tatizo. Siwezi kuvaa viatu kwani ni kama moto unawaka haswa huku kwenye kucha zinapootea miguu haina uvimbe wowote.

Kwa yeyote mwenye wazo la kunisaidia anakaribishwa ili mwenzenu niendelee na masomo vizuri kwani mimi ni mwanafunzi wa chuo mwaka wa kwanza.

Naomba kuwasilisha.
 
Ipo mishipa mingi sana ktk miguu ambayo ina muunganiko na mshipa mkubwa unaoenda mpaka ktk moyo.
Ni vyema kuichua miguu kwa mafuta ya nazi/limao kuelekea ipitapo nishipa ili kuizibua kwani kuna wakati huweza kuwa haipo sawasawa.

Mchuaji akuchue mpaka utamani kukimbia ndo utapata unafuu zaidi.
Nashukuru sana mkuu nitajaribu
 
Back
Top Bottom