Tatizo la miguu kuwaka moto (neuropathy): Ushauri, Kinga na Tiba

Mkuu najua dawa hata mimi nilipata sana shida la miguu kuwaka moto .Embu kwanza Pima kisukari mkuu ,naomba number yako ya simu please nikupigie mkuu nikuagizie hiyo dawa mkuu
 
Jamani naombeni mnisaidie mguu wangu wa kushoto unawaka moto sana ni kma wiki tatu sasa hili tatixo lipo.nimetumia dawa ya kienyeji lakini tatizo bado linaendelea tu.naombeni msaada watalaam

Dawa gani hiyo ili itusaidie sisi tunaosumbuliwa na maradhi haya?

Hilo tatizo nilisikia linasababishwa na matatizo ya kisaikorojia na upungufu wa vitamin.
 
Wakuu, natumai mu wazima.

Kwa muda wa miezi miwili sasa nasumbuliwa na miguu ambapo inawaka moto na joints za vidole vya miguu zinauma balaa, maumivu yanaanzia kwenye angle lakini kuanzia hapo kurudi juu (hadi kichwani) niko sawa.

Nimeenda hospitali tatu tofauti mara tano lakini hawaoni ugonjwa na nimepima damu,stool na haja ndogo lakini majibu yanaletwa ni kwamba hawaoni tatizo. Siwezi kuvaa viatu kwani ni kama moto unawaka haswa huku kwenye kucha zinapootea miguu haina uvimbe wowote.

Kwa yeyote mwenye wazo la kunisaidia anakaribishwa ili mwenzenu niendelee na masomo vizuri kwani mimi ni mwanafunzi wa chuo mwaka wa kwanza.

Naomba kuwasilisha.
 
Nahisi ni kisukari mkuu. Nenda hospitali ya Muhimbili si hizi za uchochoroni kwani hizo ni sawa na Clouds Media, wanaajiri watu wasio na ujuzi
 
Wakuu, natumai mu wazima.

Kwa muda wa miezi miwili sasa nasumbuliwa na miguu ambapo inawaka moto na joints za vidole vya miguu zinauma balaa, maumivu yanaanzia kwenye angle lakini kuanzia hapo kurudi juu (hadi kichwani) niko sawa.

Nimeenda hospitali tatu tofauti mara tano lakini hawaoni ugonjwa na nimepima damu,stool na haja ndogo lakini majibu yanaletwa ni kwamba hawaoni tatizo. Siwezi kuvaa viatu kwani ni kama moto unawaka haswa huku kwenye kucha zinapootea miguu haina uvimbe wowote.

Kwa yeyote mwenye wazo la kunisaidia anakaribishwa ili mwenzenu niendelee na masomo vizuri kwani mimi ni mwanafunzi wa chuo mwaka wa kwanza.

Naomba kuwasilisha.

Mkuu hiyo ni Sukari.
 
Ni dalili za uric acid tena kwa asilimia 70 ikiambatana na gauti!
 
Mkuu japokuwa huyo dokt sikuhusika nae lakini hindu mandali nimeenda na ndio walionishauri nipime sukari na matokeo yalisoma kuwa niko ok
 
Maradhi yapo mengi. Inaweza ikawa unasumbuliwa na Metatarsalgia au Sesamoiditis nenda ukaonane na daktari ili ufanyiwe uchunguzi miguu yako haraka. Ukiendelea kukaa hiyo hali Inaweza kuzidi na kuchukua muda zaidi kutibika. Msaada wa haraka unaweza kuizamisha miguu yako kwa dakika 20 ndani ya beseni lenye maji na barafu au chumvi ya magadi na maji vuguvugu au kuchua miguu yako kwa mafuta ya nazi na tangawizi. Wahi kwa daktari kufanya uchunguzi zaidi.
 
Wakuu, natumai mu wazima.

Kwa muda wa miezi miwili sasa nasumbuliwa na miguu ambapo inawaka moto na joints za vidole vya miguu zinauma balaa, maumivu yanaanzia kwenye angle lakini kuanzia hapo kurudi juu (hadi kichwani) niko sawa.

Nimeenda hospitali tatu tofauti mara tano lakini hawaoni ugonjwa na nimepima damu,stool na haja ndogo lakini majibu yanaletwa ni kwamba hawaoni tatizo. Siwezi kuvaa viatu kwani ni kama moto unawaka haswa huku kwenye kucha zinapootea miguu haina uvimbe wowote.

Kwa yeyote mwenye wazo la kunisaidia anakaribishwa ili mwenzenu niendelee na masomo vizuri kwani mimi ni mwanafunzi wa chuo mwaka wa kwanza.

Naomba kuwasilisha.

Numbness-in-Your-Feet-Toes.jpg

TATIZO LA MIGUU KUWAKA MOTO AU MIKONO NA MIGUU KUFA GANZI

Katika mwili wa binadamu, kuna tatizo la kiafya ambalo huambatana na dalili za mtu kuhisi maumivu, kuhisi kuwaka moto na kufa ganzi kwa viungo vya pembezoni mwa mwili

yaani miguu na mikono. Tatizo hili kitaalamu hujulikana kwa jina la Peripheral Neuropathy.
Matatizo haya ya kiafya (miguu/mikono kuhisi ganzi,kuwaka moto, baridi au maumivu) husababishwa na kuumia au kudhoofika kwa neva za pembezoni mwa mwili (miguuni au mikononi) na

hivyo kupotea kwa uwezo wa kufanya kazi wa neva katika sehemu husika, miguuni au mikononi.
Dalili zinazoambatana na ugonjwa huu ni hizi zifuatazo

1.Mtu kuhisi ganzi

2. kushindwa kushika au kunyanyua kitu, kuchoka kwa misuli na kadhalika.

3.maumivu au kuwaka moto maeneo ya miguuni/mikononi,

Miongoni mwa mambo ambayo hupelekea neva hizi za pembezoni kudhoofika na kushindwa kufanya kazi vizuri ni haya yafuatayo:

1.Kupungua kwa virutubisho mwilini,hasa mkusanyiko wa vitamini B, (Vitamin B Complex).

2.Matumizi ya dawa, mfano dawa za kutibu kifua kikuu au za kupambana na virusi vya ukimwi

3.Uzito mkubwa wa mwili,

4.Ugonjwa wa kisukari,(diabetic polyneuropathy).

5.Shinikizo la damu,

Fanya mazoezi,kula vyakula vyenye virutubisho na kula mboga mboga na matunda.
 
View attachment 361705

nınaweza kukutibia na ukapona. Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
Mkuu mimi nina tatizo kuasha sehemu ya mguuni.ilianza kwenye unyayo kwa chini/upande wa kukanyagia nilijikuna kwa muda mrefu baadae hiyo hali ilipotea ikaacha alama nyeusi na sasa imeanza sehemu ya juu ya unyayo kwenye ngozi laini nikianza kijikuna hadi napata kidonda napo pia paweka alama nyeusi na bado panawasha . muasho huu hutokea kwa muda mfupi na sio kila siku na ni sehemu ndogo tu ya unyayo.hivi ni ugonjwa gani huu?
 
Tumia Mshubiri aka Aloe vera gel jipake sehemu zenye muwasho zitatulia.
 
Back
Top Bottom