Tatizo la miguu kuwaka moto (neuropathy): Ushauri, Kinga na Tiba

Tatizo la miguu kuwaka moto (neuropathy): Ushauri, Kinga na Tiba

Hata mimi nna tatizo hilo mguu kuwaka moto kwenye nyao. Tunaomba msaada wenu wa kiishauri nk @Jf Doctor
 
Ndugu nasumbuliwa na miguu imekuwa inakakamaa kuanzia vidoleni mpaka magotini na ngozi kuvuta na magoti kuwa magumu na miguu kuchomachoma kuanzia unyao mpaka magotini.

Msaada wa kitiba na daktari bingwa wa hili tatizo anahitajika.
 
MziziMkavu nina mama zangu wana umri mkubwa na tatizo lao limefanana, yaani miguu inawaka moto kama kuna mtu amekoka moto ndani ya miguu,
mpaka muda mwingine anagaragara kama mtoto,
je una dawa ya hili tatizo?
 
Last edited by a moderator:
pima sukuri,msukumo wa damu,ukimwi ,na mkojo urine analysis tukutane inbox tujadli kidogo,,,ahasante
 
Inaweza ikawa tatizo ni uzito mkubwa....nilikuwa na hilo tatizo nilipokuwa na kilo nying piah
....baada yA kupunguza uzito limeisha
 
MziziMkavu nina mama zangu wana umri mkubwa na tatizo lao limefanana, yaani miguu inawaka moto kama kuna mtu amekoka moto ndani ya miguu,
mpaka muda mwingine anagaragara kama mtoto,
je una dawa ya hili tatizo?
wasikupotezee muda tatizo hilo linaitwa peripheral neuropath nenda aga khan kuna doctor fulani nimemsahau jina mama mmoja wa kihidi specialist wa mishipa atakuchoma sindano mbili ugonjwa kwisha mi nilikuwa na huo ugonjwa na sina uzito mkubwa nina kilo 60 tu na nina futi sita kasoro baada ya hizo sindano sasa niko fit
 
Last edited by a moderator:
Ndugu nasumbuliwa na miguu imekuwa inakakamaa kuanzia vidoleni mpaka magotini na ngozi kuvuta na magoti kuwa magumu na miguu kuchomachoma kuanzia unyao mpaka magotini.

Msaada wa kitiba na daktari bingwa wa hili tatizo anahitajika.
nenda aga khan muone mama mmoja muhindi specialist wa mishipa
 
wasikupotezee muda tatizo hilo linaitwa peripheral neuropath nenda aga khan kuna doctor fulani nimemsahau jina mama mmoja wa kihidi specialist wa mishipa atakuchoma sindano mbili ugonjwa kwisha mi nilikuwa na huo ugonjwa na sina uzito mkubwa nina kilo 60 tu na nina futi sita kasoro baada ya hizo sindano sasa niko fit
hizo sindano amechomwa miguu ikawa kama imekufa ganzi, baada ya siku kadhaa tatizo limerudi palepale.
 
Wakuu wa Nchi na Dr wa JF naomba kuuliza kama kuna Dr. au mtu ambaye anaweza kunisaidia hili tatizo.

Yaani hata usingizi sipati kabisa maana inavyowaka moto na kuchomachoma ni Mungu tu anayejua.

Niko Arusha Tanzania, msaada please 🙂
 
Last edited by a moderator:
mimi nina shida ya kusimama au kutembea mfululizo nusu saa tu miguu inauma kwenye viungio vya chini na magotini.Nisipopata usingizi wa kutosha pia magoti huuma na kuvimba.Nikibanwa na haja kubwa bas miguu na mgongo lazina viume sana, nisaidieni pse
 
baadaebnikiebda hosptali moja Ekenywa nikapigwa sindano nijajisikua vizuri sana lkn baada ya muda nikarudi kama mwanzo
 
jamani natafuta dawa ya kutibu miguu kuwaka moto. nlipima nikaambiwa nna baridi yabisi, Lakini nlishindwa garama ya dawa. kama kuna mtu anatibu kwa bei nafuu tafadhali tusaudiane
 
jamani natafuta dawa ya kutibu miguu kuwaka moto. nlipima nikaambiwa nna baridi yabisi, Lakini nlishindwa garama ya dawa. kama kuna mtu anatibu kwa bei nafuu tafadhali tusaudiane
Ndigu,gangamala hivyo hivyo mpaka upone,kuna dawa nyingi zinazo tibu nmezisahau majina.

Nnasumbuliwa na arthritis so nnajua tabu na karaha zake,na nnaendelea kukomaa na matibabu kwa miezi 6 sasa.
 
Mkuu msaada wako tafadhali amepima moyo ka kitu kama ulivyo sem lakini bado mkuu msaada wado tafadhali mkuu
 
Hellow WanaJF,

Kuna ndugu yangu anasumbuliwa sana na kichwa. Kwa muda mrefu sana amejaribu kwenda Hospitali, anapimwa macho na kupewa miwani bila mafanikio yoyote.

Na pia miguu inamsumbua, ganzi katika miguu na vichomi pia.

Kwa mtaalamu anayejua nini tatizo, naomba anijuze.

Muulize kama huwa anakumbuka ndoto anazoota? Vipi watu wanamchukuliaje katika jamii? Wanamkubali au wanamwepuka? Je kifua kinabana? Je mwili unachemka?..akikupa majibu ya maswali haya uje nikwambie kitu mkuu?
 
naomba apime maambukiz ya virus vya ukimwi,kisukari,magonjwa ya zinaa,,akiweza fanya full blood picture ,,ntumie hyo pichha whatapp 0766671746 by dr twemanye
 
Back
Top Bottom