Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna dawa unatumia kwa muda mrefu, uongo!
wasikupotezee muda tatizo hilo linaitwa peripheral neuropath nenda aga khan kuna doctor fulani nimemsahau jina mama mmoja wa kihidi specialist wa mishipa atakuchoma sindano mbili ugonjwa kwisha mi nilikuwa na huo ugonjwa na sina uzito mkubwa nina kilo 60 tu na nina futi sita kasoro baada ya hizo sindano sasa niko fitMziziMkavu nina mama zangu wana umri mkubwa na tatizo lao limefanana, yaani miguu inawaka moto kama kuna mtu amekoka moto ndani ya miguu,
mpaka muda mwingine anagaragara kama mtoto,
je una dawa ya hili tatizo?
nenda aga khan muone mama mmoja muhindi specialist wa mishipaNdugu nasumbuliwa na miguu imekuwa inakakamaa kuanzia vidoleni mpaka magotini na ngozi kuvuta na magoti kuwa magumu na miguu kuchomachoma kuanzia unyao mpaka magotini.
Msaada wa kitiba na daktari bingwa wa hili tatizo anahitajika.
hizo sindano amechomwa miguu ikawa kama imekufa ganzi, baada ya siku kadhaa tatizo limerudi palepale.wasikupotezee muda tatizo hilo linaitwa peripheral neuropath nenda aga khan kuna doctor fulani nimemsahau jina mama mmoja wa kihidi specialist wa mishipa atakuchoma sindano mbili ugonjwa kwisha mi nilikuwa na huo ugonjwa na sina uzito mkubwa nina kilo 60 tu na nina futi sita kasoro baada ya hizo sindano sasa niko fit
Ndigu,gangamala hivyo hivyo mpaka upone,kuna dawa nyingi zinazo tibu nmezisahau majina.jamani natafuta dawa ya kutibu miguu kuwaka moto. nlipima nikaambiwa nna baridi yabisi, Lakini nlishindwa garama ya dawa. kama kuna mtu anatibu kwa bei nafuu tafadhali tusaudiane
Hellow WanaJF,
Kuna ndugu yangu anasumbuliwa sana na kichwa. Kwa muda mrefu sana amejaribu kwenda Hospitali, anapimwa macho na kupewa miwani bila mafanikio yoyote.
Na pia miguu inamsumbua, ganzi katika miguu na vichomi pia.
Kwa mtaalamu anayejua nini tatizo, naomba anijuze.