Asili ni Dawa na Ponyo
Member
- Apr 30, 2016
- 54
- 28
Ni tatizo linalosumbua watu wengi siku hizi ila linatibika mda mfup wasiluana nas 0712770729
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani naombeni mnisaidie mguu wangu wa kushoto unawaka moto sana ni kma wiki tatu sasa hili tatixo lipo.nimetumia dawa ya kienyeji lakini tatizo bado linaendelea tu.naombeni msaada watalaam
Dawa gani hiyo ili itusaidie sisi tunaosumbuliwa na maradhi haya?
Wakuu, natumai mu wazima.
Kwa muda wa miezi miwili sasa nasumbuliwa na miguu ambapo inawaka moto na joints za vidole vya miguu zinauma balaa, maumivu yanaanzia kwenye angle lakini kuanzia hapo kurudi juu (hadi kichwani) niko sawa.
Nimeenda hospitali tatu tofauti mara tano lakini hawaoni ugonjwa na nimepima damu,stool na haja ndogo lakini majibu yanaletwa ni kwamba hawaoni tatizo. Siwezi kuvaa viatu kwani ni kama moto unawaka haswa huku kwenye kucha zinapootea miguu haina uvimbe wowote.
Kwa yeyote mwenye wazo la kunisaidia anakaribishwa ili mwenzenu niendelee na masomo vizuri kwani mimi ni mwanafunzi wa chuo mwaka wa kwanza.
Naomba kuwasilisha.
Mkuu sukari nimepima lakini nimeambiwa iko normal
Wakuu, natumai mu wazima.
Kwa muda wa miezi miwili sasa nasumbuliwa na miguu ambapo inawaka moto na joints za vidole vya miguu zinauma balaa, maumivu yanaanzia kwenye angle lakini kuanzia hapo kurudi juu (hadi kichwani) niko sawa.
Nimeenda hospitali tatu tofauti mara tano lakini hawaoni ugonjwa na nimepima damu,stool na haja ndogo lakini majibu yanaletwa ni kwamba hawaoni tatizo. Siwezi kuvaa viatu kwani ni kama moto unawaka haswa huku kwenye kucha zinapootea miguu haina uvimbe wowote.
Kwa yeyote mwenye wazo la kunisaidia anakaribishwa ili mwenzenu niendelee na masomo vizuri kwani mimi ni mwanafunzi wa chuo mwaka wa kwanza.
Naomba kuwasilisha.
Mkuu mimi nina tatizo kuasha sehemu ya mguuni.ilianza kwenye unyayo kwa chini/upande wa kukanyagia nilijikuna kwa muda mrefu baadae hiyo hali ilipotea ikaacha alama nyeusi na sasa imeanza sehemu ya juu ya unyayo kwenye ngozi laini nikianza kijikuna hadi napata kidonda napo pia paweka alama nyeusi na bado panawasha . muasho huu hutokea kwa muda mfupi na sio kila siku na ni sehemu ndogo tu ya unyayo.hivi ni ugonjwa gani huu?
View attachment 361705
TATIZO LA MIGUU KUWAKA MOTO AU MIKONO NA MIGUU KUFA GANZI
Katika mwili wa binadamu, kuna tatizo la kiafya ambalo huambatana na dalili za mtu kuhisi maumivu, kuhisi kuwaka moto na kufa ganzi kwa viungo vya pembezoni mwa mwili
yaani miguu na mikono. Tatizo hili kitaalamu hujulikana kwa jina la Peripheral Neuropathy.
Matatizo haya ya kiafya (miguu/mikono kuhisi ganzi,kuwaka moto, baridi au maumivu) husababishwa na kuumia au kudhoofika kwa neva za pembezoni mwa mwili (miguuni au mikononi) na
hivyo kupotea kwa uwezo wa kufanya kazi wa neva katika sehemu husika, miguuni au mikononi.
Dalili zinazoambatana na ugonjwa huu ni hizi zifuatazo
1.Mtu kuhisi ganzi
2. kushindwa kushika au kunyanyua kitu, kuchoka kwa misuli na kadhalika.
3.maumivu au kuwaka moto maeneo ya miguuni/mikononi,
Miongoni mwa mambo ambayo hupelekea neva hizi za pembezoni kudhoofika na kushindwa kufanya kazi vizuri ni haya yafuatayo:
1.Kupungua kwa virutubisho mwilini,hasa mkusanyiko wa vitamini B, (Vitamin B Complex).
2.Matumizi ya dawa, mfano dawa za kutibu kifua kikuu au za kupambana na virusi vya ukimwi
3.Uzito mkubwa wa mwili,
4.Ugonjwa wa kisukari,(diabetic polyneuropathy).
5.Shinikizo la damu,
Fanya mazoezi,kula vyakula vyenye virutubisho na kula mboga mboga na matunda.
nınaweza kukutibia na ukapona. Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
Tumia Mshubiri aka Aloe vera gel jipake sehemu zenye muwasho zitatulia.Mkuu mimi nina tatizo kuasha sehemu ya mguuni.ilianza kwenye unyayo kwa chini/upande wa kukanyagia nilijikuna kwa muda mrefu baadae hiyo hali ilipotea ikaacha alama nyeusi na sasa imeanza sehemu ya juu ya unyayo kwenye ngozi laini nikianza kijikuna hadi napata kidonda napo pia paweka alama nyeusi na bado panawasha . muasho huu hutokea kwa muda mfupi na sio kila siku na ni sehemu ndogo tu ya unyayo.hivi ni ugonjwa gani huu?