Tatizo la miguu kuwaka moto (neuropathy): Ushauri, Kinga na Tiba

Tatizo la miguu kuwaka moto (neuropathy): Ushauri, Kinga na Tiba

Nenda hospital ukaonane na wataalamu wa mifupa ..

Ikiwezekana nenda moi kabisa
 
Cha msingi nenda kwanza hospital ,harafu atakachokuambia doctor msikilize
 
Nenda hospital pambana upate Neurophysician. Huyu ni mtaalam wa masuala ya nerves. Inaekekea blood circulation haiko vizuri hivyo haifiki vizuri periphery area kama miguuni.

Wengine wanaguswa mpaka mkononi na kwenye Ubongo ambako kinakuwa na flow ndogo ya damu hivyo oxygen inapungua na ikiendelea bila tiba inaathiri Ubungo na tatizo la kusahau linajongea.

Wakati huo huo omba ufanyike kipimo cha stress hormone (cortisol AM and PM) kama ziko chini maana yake moja tadalili ni kama ulivyoelezea.

Hivyo basi ili kutambua kinachokusumbua nenda hospital fanya vipimo vyote muhimu mno mno kama Renal Panel, Thyroid Function test, Cortisol, Fasting Blood Glucose, Mkojo kuangalia Creatinine na BUN yaani kipimo cha awali cha figon.k
 
Naomba kupewa elimu juu ya kupata ganzi kunakoenda sambamba na kuwaka moto miguuni kuanzia kwenye vidole vya miguu ( Kanyagio la mguu) ambapo Nusu ya kanyagio kuishia vidoleni napata ganzi sana kiasi kwamba hata nikichomwa au kukatwa na kitu sihisi maumivu zaidi ya kuona damu tu ndio naweza kutambua kwamba nimeumia. Sambamba na hilo sehemu hiyo inayopata gazi inakuwa kama naungua moto kabisa. Naomba ushauri juu ya hili tafadhalini
Hiyo ni dadili ya ugonjwa mwingine kama ugonjwa wa moyo unaosababishwa mzunguko mdogo wa damu sehemu za nchani kama vidoleni na miguuni.

Nakushauri ufanye mazoezi ya kutembea au hata kukimbia kama unaweza. Lakini wahi haraka hospitali utapimwa moyo, na mengineyo upate kutibiwa mapema. Usisahau kumwomba Mungu pia.
 
Hiyo ni dadili ya ugonjwa mwingine kama ugonjwa wa moyo unaosababishwa mzunguko mdogo wa damu sehemu za nchani kama vidoleni na miguuni. Nakushauri ufanye mazoezi ya kutembea au hata kukimbia kama unaweza. Lakini wahi haraka hospitali utapimwa moyo, na mengineyo upate kutibiwa mapema. Usisahau kumwomba Mungu pia.
Ahsante sana fazili kwa ushauri mzuri, nimeupokea
 
Nenda hospital pambana upate Neurophysician. Huyu ni mtaalam wa masuala ya nerves. Inaekekea blood circulation haiko vizuri hivyo haifiki vizuri periphery area kama miguuni. Wengine wanaguswa mpaka mkononi na kwenye Ubongo ambako kinakuwa na flow ndogo ya damu hivyo oxygen inapungua na ikiendelea bila tiba inaathiri Ubungo na tatizo la kusahau linajongea. Wakati huo huo omba ufanyike kipimo cha stress hormone (cortisol AM and PM) kama ziko chini maana yake moja tadalili ni kama ulivyoelezea. Hivyo basi ili kutambua kinachokusumbua nenda hospital fanya vipimo vyote muhimu mno mno kama Renal Panel, Thyroid Function test, Cortisol, Fasting Blood Glucose, Mkojo kuangalia Creatinine na BUN yaani kipimo cha awali cha figon.k
Ahsante sana Brother kwa ushauri wako mzuri sana kwangu nitaufanyia kazi soon,barikiwa sana Man
 
Naomba kupewa elimu juu ya kupata ganzi kunakoenda sambamba na kuwaka moto miguuni kuanzia kwenye vidole vya miguu ( Kanyagio la mguu) ambapo Nusu ya kanyagio kuishia vidoleni napata ganzi sana kiasi kwamba hata nikichomwa au kukatwa na kitu sihisi maumivu zaidi ya kuona damu tu ndio naweza kutambua kwamba nimeumia. Sambamba na hilo sehemu hiyo inayopata gazi inakuwa kama naungua moto kabisa. Naomba ushauri juu ya hili tafadhalini
Sehemu kubwa ya maelezo yako inaelekea unashida ya spinalcord kukandamiza nervous system, please seek an appointment immediately with reputable neuro physian au neuro surgeon
 
Nimepiga ramli nimeona yafuatayo. Bisha nikikosea.
1. Umri wako Ni zaidi ya miaka 55
2. Tatizo Hilo hutokea zaidi usiku ukilala.

Kama Ni kweli fanya yafuatayo halafu unishukuru baadaye.

A) Kunywa maji mengi zaidi ya lita moja kabla ya kwenda kulala.

B) Fanya mazoezi ya kuruka kamba kabla ya kwenda kulala au popote na muda wowote Ukipata ka nafasi. Pia waweza kufanya mazoezi ya kutisha miguu Kama vile unapiga teke. Hakikisha umeruka ruka na kamba zaidi ya x 100.

C) Muone daktari hasa wa moyo. Mwambie mimi ndie niliyekutuma.

Thank me later.
 
Nenda hospital pambana upate Neurophysician. Huyu ni mtaalam wa masuala ya nerves. Inaekekea blood circulation haiko vizuri hivyo haifiki vizuri periphery area kama miguuni...
Huu ushauri umeshiba ndio maana naipenda jf.pengine ushauri kama huu ili uupate pesa lazima ikutoke

unapendekeza hospitali gani na gani ambapo wataalamu wa hivyo vipimo wanapatikana
 
Naomba kupewa elimu juu ya kupata ganzi kunakoenda sambamba na kuwaka moto miguuni kuanzia kwenye vidole vya miguu ( Kanyagio la mguu) ambapo Nusu ya kanyagio kuishia vidoleni napata ganzi sana kiasi kwamba hata nikichomwa au kukatwa na kitu sihisi maumivu zaidi ya kuona damu tu ndio naweza kutambua kwamba nimeumia. Sambamba na hilo sehemu hiyo inayopata gazi inakuwa kama naungua moto kabisa. Naomba ushauri juu ya hili tafadhalini
Accumulation of uric acid...fanya mazoezi and no red meat.. Mimi siyo daktari inawezekana kabisa siko sahihi.
 
Mkuu hili tatizo usipokua makini utahisi umerogwa.... miguu inawaka hata kuliia unaweza kulia.....hii kitu sijui kunywa maji mengi haitakusaidia .....Mimi kwa experience ya hili tatizo ilikua ni kutokana na vidonda vya tumbo ...na dawa nilizopewa ambazo zilinisaidia ni Nat B..rumberoc( Hilo jina Sina uhakika maana nimesahau). .ile ya maji ya kupunguza gesi..na piliton kwa ajili ya kupata usingizi ..maana am sure huwezi kupata usingizi wewe..
 
Nenda hosp

Acha sigara, punguza pombe au acha

Acha nyama nyekundu, sukari chumvi pia punguza sana

Fanya mazoezi tembea sana hata humu room weka muziki fanya mazoezi, hapo pa mazoezi ndio tiba kubwa na usikae sehemu moja muda mrefu

Ondoa hofu, hasira na usiweke uchungu moyoni.

Jiombee pia.

Get well the soonest.
 
Naomba kupewa elimu juu ya kupata ganzi kunakoenda sambamba na kuwaka moto miguuni kuanzia kwenye vidole vya miguu ( Kanyagio la mguu) ambapo Nusu ya kanyagio kuishia vidoleni napata ganzi sana kiasi kwamba hata nikichomwa au kukatwa na kitu sihisi maumivu zaidi ya kuona damu tu ndio naweza kutambua kwamba nimeumia. Sambamba na hilo sehemu hiyo inayopata gazi inakuwa kama naungua moto kabisa. Naomba ushauri juu ya hili tafadhalini
Chemsha maji changanya na kitunguu saumu na chumvi loweka miguu kwa nususaa kila siku kwa siku saba
 
kama upo ' overweight' kuna uwezekano mkubwa kisukari kina piga hodi, kikimbize kwa kuanza kufanya mazoezi na kurekebisha diet yako, binafsi mwaka 2000 nilikuwa na dalili kama hizo nikapimwa karibia maradhi na magonjwa yote nikaonekana nipo 'fit' kabisa, ila kuna dokta mmoja muhindi pale muhimbili akaniambia hiyo ni dalili ya kisukari miaka 5 baadaye majanga ya kisukari yakaanza kunichapa
 
Sehemu kubwa ya maelezo yako inaelekea unashida ya spinalcord kukandamiza nervous system, please seek an appointment immediately with reputable neuro physian au neuro surgeon
Ahsante sana kwa ushauri wangu ndg yangu
 
Back
Top Bottom