Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ni dadili ya ugonjwa mwingine kama ugonjwa wa moyo unaosababishwa mzunguko mdogo wa damu sehemu za nchani kama vidoleni na miguuni.Naomba kupewa elimu juu ya kupata ganzi kunakoenda sambamba na kuwaka moto miguuni kuanzia kwenye vidole vya miguu ( Kanyagio la mguu) ambapo Nusu ya kanyagio kuishia vidoleni napata ganzi sana kiasi kwamba hata nikichomwa au kukatwa na kitu sihisi maumivu zaidi ya kuona damu tu ndio naweza kutambua kwamba nimeumia. Sambamba na hilo sehemu hiyo inayopata gazi inakuwa kama naungua moto kabisa. Naomba ushauri juu ya hili tafadhalini
Ahsante sana fazili kwa ushauri mzuri, nimeupokeaHiyo ni dadili ya ugonjwa mwingine kama ugonjwa wa moyo unaosababishwa mzunguko mdogo wa damu sehemu za nchani kama vidoleni na miguuni. Nakushauri ufanye mazoezi ya kutembea au hata kukimbia kama unaweza. Lakini wahi haraka hospitali utapimwa moyo, na mengineyo upate kutibiwa mapema. Usisahau kumwomba Mungu pia.
Ahsante sana Brother kwa ushauri wako mzuri sana kwangu nitaufanyia kazi soon,barikiwa sana ManNenda hospital pambana upate Neurophysician. Huyu ni mtaalam wa masuala ya nerves. Inaekekea blood circulation haiko vizuri hivyo haifiki vizuri periphery area kama miguuni. Wengine wanaguswa mpaka mkononi na kwenye Ubongo ambako kinakuwa na flow ndogo ya damu hivyo oxygen inapungua na ikiendelea bila tiba inaathiri Ubungo na tatizo la kusahau linajongea. Wakati huo huo omba ufanyike kipimo cha stress hormone (cortisol AM and PM) kama ziko chini maana yake moja tadalili ni kama ulivyoelezea. Hivyo basi ili kutambua kinachokusumbua nenda hospital fanya vipimo vyote muhimu mno mno kama Renal Panel, Thyroid Function test, Cortisol, Fasting Blood Glucose, Mkojo kuangalia Creatinine na BUN yaani kipimo cha awali cha figon.k
Sehemu kubwa ya maelezo yako inaelekea unashida ya spinalcord kukandamiza nervous system, please seek an appointment immediately with reputable neuro physian au neuro surgeonNaomba kupewa elimu juu ya kupata ganzi kunakoenda sambamba na kuwaka moto miguuni kuanzia kwenye vidole vya miguu ( Kanyagio la mguu) ambapo Nusu ya kanyagio kuishia vidoleni napata ganzi sana kiasi kwamba hata nikichomwa au kukatwa na kitu sihisi maumivu zaidi ya kuona damu tu ndio naweza kutambua kwamba nimeumia. Sambamba na hilo sehemu hiyo inayopata gazi inakuwa kama naungua moto kabisa. Naomba ushauri juu ya hili tafadhalini
Huu ushauri umeshiba ndio maana naipenda jf.pengine ushauri kama huu ili uupate pesa lazima ikutokeNenda hospital pambana upate Neurophysician. Huyu ni mtaalam wa masuala ya nerves. Inaekekea blood circulation haiko vizuri hivyo haifiki vizuri periphery area kama miguuni...
Accumulation of uric acid...fanya mazoezi and no red meat.. Mimi siyo daktari inawezekana kabisa siko sahihi.Naomba kupewa elimu juu ya kupata ganzi kunakoenda sambamba na kuwaka moto miguuni kuanzia kwenye vidole vya miguu ( Kanyagio la mguu) ambapo Nusu ya kanyagio kuishia vidoleni napata ganzi sana kiasi kwamba hata nikichomwa au kukatwa na kitu sihisi maumivu zaidi ya kuona damu tu ndio naweza kutambua kwamba nimeumia. Sambamba na hilo sehemu hiyo inayopata gazi inakuwa kama naungua moto kabisa. Naomba ushauri juu ya hili tafadhalini
Chemsha maji changanya na kitunguu saumu na chumvi loweka miguu kwa nususaa kila siku kwa siku sabaNaomba kupewa elimu juu ya kupata ganzi kunakoenda sambamba na kuwaka moto miguuni kuanzia kwenye vidole vya miguu ( Kanyagio la mguu) ambapo Nusu ya kanyagio kuishia vidoleni napata ganzi sana kiasi kwamba hata nikichomwa au kukatwa na kitu sihisi maumivu zaidi ya kuona damu tu ndio naweza kutambua kwamba nimeumia. Sambamba na hilo sehemu hiyo inayopata gazi inakuwa kama naungua moto kabisa. Naomba ushauri juu ya hili tafadhalini
Nina kilo 75Una uzito kilo ngp
Ahsante sana kwa ushauri wangu ndg yanguSehemu kubwa ya maelezo yako inaelekea unashida ya spinalcord kukandamiza nervous system, please seek an appointment immediately with reputable neuro physian au neuro surgeon
Ahsante sana kwa ushauri wangu ndg yanguSehemu kubwa ya maelezo yako inaelekea unashida ya spinalcord kukandamiza nervous system, please seek an appointment immediately with reputable neuro physian au neuro surgeon
Ahsante sana kwa ushauri wangu ndg yanguHuu ushauri umeshiba ndio maana naipenda jf.pengine ushauri kama huu ili uupate pesa lazima ikutoke
unapendekeza hospitali gani na gani ambapo wataalamu wa hivyo vipimo wanapatikana