Tatizo la Mo Dewji ni Ujanja Ujanja

Tatizo la Mo Dewji ni Ujanja Ujanja

Inawezekana una hoja lakini nikusaidie
Unauliza mchezaji gani wa maana kama DJuma?
Kila mchezaji ni muhumu kwa nafasi yake, luis nafasi anayocheza ni bora zaidi kama ilivyo dJuma kwa nafasi yake!
As.Vita aliyokua D Juma miaka 4 mfululizo imeishia makundi simba misimu hii4 imeingia robo fainal mara mbili!
Rudi mezani tujadili hoja!

Kuna mchezaji yoyote ambae Mo alishatoa pesa kwa kuvunja mkataba. Si mnasubiri underdog kama chikwende.

Luis imetokea bahati lakin nae ni kapi , alikuja baada ya kushindwa sauzi
 
Mbona unaona peke yako? Yanga imeleta mabadiliko gani ya soka nchini? Carlinhos hakuvunjiwa mkataba? Nchimbi hakuvunjiwa mkataba? Fiston alivunjiwa mkataba? Tatizo ni kukariri kuwa mchezaji mzuri hawezi kuwa free agent, sasa nini maana ya mikataba kama inakuwa haiishi?

Ni suala la muda mtabadili hilo jina la UTOPOLO. Tatizo lenu Maneno mengi huku kiongozi wenu akiwa Manara
 
Kuna mchezaji yoyote ambae Mo alishatoa pesa kwa kuvunja mkataba. Si mnasubiri underdog kama chikwende.

Luis imetokea bahati lakin nae ni kapi , alikuja baada ya kushindwa sauzi
Tatizo lenu yanga ni bangi, mkishavuta bangi huwa mnaropoka mno halafu hamna hata la maana mnalosema .. ona Sasa eti Luis ni kapi mtu ambaye ameshatajwa kuwa mchezaji bora Africa zaidi ya mara moja .. tuachane na hayo, ivi mchezaji gani wa utopolo unahisi anafit kuwa kwenye first eleven ya Simba ? au ndo mmeshaanza tambo za usajili alafu hamna la maana wanalofanya uwanjani ..

Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli huyu jamaa kwemda yanga imeniuma Sana..yaani mo amekaa kitapeli Sana..anavizia wachezaji wa free..upuuzi mtupu..eti uwekezaji

Wewe umeelewa . Wanasimba wengi wameumia. Ndio mjue kuwa Jamaa hulisha watu matango PORINI.

Uwekezaji my foot mwizi tu muhindi Yule . Kamshindwa Djuma kisa mpunga, Na hii ni ishara mo ni tapeli, he is not into investment hata. Leo hii mnaaminishwa eti Djuma ni majeruhi sijui hukaa sana nje ,upuuzi.

Like serious anataka pata kombe la Africa na kina Kapombe, Wawa .... he must be mad.

Djuma could have made a best combination in Msimbazi, As Vita kutofika mbali ni kwamba ligi ya kule inashuka, Na Vita waliuza wachezaji muhimu wengi Sana , ndio maana haijapata balance mpaka leo.

Djuma ni mchezaji na anauwezo nje ya box . Yanga sio wapuuzi kumchagua Djuma. Inapokuja suala la selection ya best players , Yanga is always the best.

Simba ni Blah Blah na utapeli wa boss wao kujitia ujuaji . Angalia selection zao ambazo ni worst
Chikwende
Kahata
Rasta etc etc .
 
Mzee mpili kawapa jeuri sana sasa mmeanza na matusi. Heshimu watu hayo mambo huja na kupita. Ushindi wenyewe wa kusaidiwa na wastaafu halafu mnapiga kelele kweli?!
Huyo djuma kapigwa na Simba nje ndani. Sasa nyie tambeni na hela za wanaume muendelee kufikiria kama duniani kuna vitu vya bure.
Hivi mikia wanatamba na hela za mwanamke?Mo si ndiye 'mungu' wetu pale unyamani! Safari hii mjiandae kisaikolojia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe umeelewa . Wanasimba wengi wameumia. Ndio mjue kuwa Jamaa hulisha watu matango PORINI.

Uwekezaji my foot mwizi tu muhindi Yule . Kamshindwa Djuma kisa mpunga, Na hii ni ishara mo ni tapeli, he is not into investment hata. Leo hii mnaaminishwa eti Djuma ni majeruhi sijui hukaa sana nje ,upuuzi.

Like serious anataka pata kombe la Africa na kina Kapombe, Wawa .... he must be mad.

Djuma could have made a best combination in Msimbazi, As Vita kutofika mbali ni kwamba ligi ya kule inashuka, Na Vita waliuza wachezaji muhimu wengi Sana , ndio maana haijapata balance mpaka leo.

Djuma ni mchezaji na anauwezo nje ya box . Yanga sio wapuuzi kumchagua Djuma. Inapokuja suala la selection ya best players , Yanga is always the best.

Simba ni Blah Blah na utapeli wa boss wao kujitia ujuaji . Angalia selection zao ambazo ni worst
Chikwende
Kahata
Rasta etc etc .
Ni kweli.. lakini mpeni mkataba mrefu..maana mo na matapeli wenzie watamuiba Kama Morrison
 
Ni kweli.. lakini mpeni mkataba mrefu..maana mo na matapeli wenzie watamuiba Kama Morrison

Na Mo akijitia kufanya kama alivyofanya kwa Morison ataharibu soka letu na tutamtimua. Asajili kwa uwezo wake na Sio kwa kuikomoa Yanga ni ushamba na immaturity, athubutu mara hii . Tutaivuruga Simba yote

Sisi ndio wanadarisalama, tunajua fitna zote
 
Back
Top Bottom