Tatizo la Mo Dewji ni Ujanja Ujanja

Tatizo la Mo Dewji ni Ujanja Ujanja

Wanaosubiri underdog ni mabingwa back to back miaka minne na wanaovunja mikataba wamekuwa wasindikizaji kwa kipindi chote hicho na wanashiriki michuano ya kimataifa kwa kubebwa!
Kweli upeo wako wa kufikiri ni finyu kabisa!

Hilo neno kabisa linauhusiano gani na mada hii?
 
Bingwa misimu mnne mfululizo ni Simba nyinyi Yanga bakini kupiga mayowe tu,Simba imewapa tiketi ya kupanda ndege caf champion muwe na heshima basi.
Ukumbuke tarehe 22.07.2021 CAS wanatoa hukumu!
 
Simba tunawatomba tena kule Kigoma,, ni kimoja tu cha mkwenzi Kinaingia Myong'oooooooooh
 
Muddy ni msanii halafu tatizo lingine ni mpaka aombe kwa baba yake Gulam
Tapeli hoyo anatarajia kubeba VPL mara4 back to back taperi huyoyo amefika mara 2 robo finally club bingwa Africa
 
Ni suala la muda mtabadili hilo jina la UTOPOLO. Tatizo lenu Maneno mengi huku kiongozi wenu akiwa Manara
Kila siku swala la mda mawazo ya masikini haya nyio utopolo hiki kipind cha usajili ndo kipind chenu kutamba mwisho wa msimu makombe kwa mnyama
 
Kigoma tunapiga kwenye mshono. Pale pale. Tutawa surprise tena kwa mara nyingine.


This time tunakuja na njia ya Kaizer Chief ; tunafumua mshono na kuufunga upya . This time lazima mgawanyike.

Ni katika jitihada za kuthibitisha kwamba Yanga ni kubwa na bora kuliko Simba
Huwezi mfunga simba mara2 mfululizo kigoma ndo utajua hujui
 
Tatizo lenu yanga ni bangi, mkishavuta bangi huwa mnaropoka mno halafu hamna hata la maana mnalosema .. ona Sasa eti Luis ni kapi mtu ambaye ameshatajwa kuwa mchezaji bora Africa zaidi ya mara moja .. tuachane na hayo, ivi mchezaji gani wa utopolo unahisi anafit kuwa kwenye first eleven ya Simba ? au ndo mmeshaanza tambo za usajili alafu hamna la maana wanalofanya uwanjani ..

Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
......ila cha kushangaza ni kwamba Simba walifungwa tena juzi tu na hao Yanga jambo ambalo linafanya hoja yako ionekane haina kabisa maana.
 
Ujanja Ujanja kwa maana nyingine ni UTAPELI.

Hongereni sana Timu ya Wananchi, Dar Young Africans kwa kuvunja MKATABA wa Ndugu Djuma Shaaban na kumleta Jangwani.

Hii ndiyo maana halisi ya uwekezaji. Kununua watu ambao wanakuja kufanya kazi straightaway na sio kujifunza kazi kama zile za kina Chikwende, Mnaijeria, Kahata na wengineo.

Uwekezaji wa Mo ndani ya Simba ni wa kitapeli na wenye kutengeneza manufaa binafsi juu yake, hata Uwanja wa Timu ameshindwa kuupa jina la KLABU, ndiyo mjue mikia ni zero brain.

Hamisi Kigwangala alimaanisha sana, Ila muda utaongea.

Ni Mchezaji gani wa maana ambae Mo amewahi kumsajili kama ilivyofanya Yanga kwa Djuma Shaabani? Klabu 3 zilimtaka Djuma Shabaan.

Djuma alikiri yeye yupo tayari kwenda kokote kwenye Competitive Offer, akaweka dau lake mezani, Madam aliposikia offer hakurudi tena, alidhani ni kina Chikwende hao.

The worst part ni kuwa Djuma hakutaka any negotiation ya mshahara wake, kwa sababu anaamini katika uwezo wake. Mikia imebaki kupika majungu, eti ni mchezaji mwenye majeraha anaekaa sana nje, kama ni hivyo Madam alienda kongo kimya kimya kufanya nini?

Bakini na upupu wenu wa Bilioni 20. Timu isiyokuwa na weledi, wachezaji kulaumiwa na kusimangwa eti kwa nini wamefungwa, tunawalipa vizuri lakini bado mnafungwa; unawezaje kulaumu wachezaji kwa kigezo cha kuwalipa vizuri. Barcelona inalipa watu Bilions na bado inafungwa, nyie KENGE wa msimbazi kwa mishahara isiyozidi mil 250 kwa mwezi msifungwe kama nani.

Naiona Yanga ikileta mabadiliko ya soka Tanzania, ni suala la masiku yanayohesabika tu upepo utahama.

Tunasikia Mo anakimbizana na Makusu mchezaji ambae alishapotea muda tu, tunajua kwanini, ni utapeli na hadaa ya bei chee na uwekezaji hewa ndio umetawala.

Tunawafundisha maana halisi ya uwekezaji.

Ni wakati wa Yanga sasa, Djuma shabani ni trailer tu, Yanga inaleta vyuma vya maana bila ya kujali bei. Yanga inatema Chechee. Wiki ijayo tunatema checheee.

Kigoma. KIMOJA tu.

kimoja tu mkavurugane mbele wenyewe.

Kimoja tu, tena dakika zile zile za mwanzo.

Kimoja tu

Kimoja tu, kikipenya pyuuuuu bila maumivu

Kimoja tu
Ujanja huo huo ndio UMEIPA SIMBA UBINGWA 4 TIMES NOW. Endeleen na ujinga wenu. SISI TUTAENDELEA NA UJANJA UJANJA WETU
 
Kuna mchezaji yoyote ambae Mo alishatoa pesa kwa kuvunja mkataba. Si mnasubiri underdog kama chikwende.

Luis imetokea bahati lakin nae ni kapi , alikuja baada ya kushindwa sauzi
Mkuu djuma alikuwa free player, mkataba wake inaisha hii June, japokuwa tunakubali ni mchezaji mzuri ila Simba ina kapombe anatosha, yasije kutokea ya Gadiel na Zimbwe kuwa na wachezaji wazuri nafasi moja matokeo yake mchezaji mmoja atapotea,

Kwa Yanga kumchukua djuma ni sahihi maana wanaenda kuboresha nafasi ya shomari ambae kiuhalisia ameachwa mbali na djuma, Lakini pia kama jamaa asingeumia kipindi Yuko national team uwezekano wa Simba kuendelea kumtaka ungekuwa mkubwa, hongereni watani Jamaa ni mzuri Ila uongo wa kusema mmevunja mkataba acheni bana

View attachment 1845407
 
Wewe umeelewa . Wanasimba wengi wameumia. Ndio mjue kuwa Jamaa hulisha watu matango PORINI.

Uwekezaji my foot mwizi tu muhindi Yule . Kamshindwa Djuma kisa mpunga, Na hii ni ishara mo ni tapeli, he is not into investment hata. Leo hii mnaaminishwa eti Djuma ni majeruhi sijui hukaa sana nje ,upuuzi.

Like serious anataka pata kombe la Africa na kina Kapombe, Wawa .... he must be mad.

Djuma could have made a best combination in Msimbazi, As Vita kutofika mbali ni kwamba ligi ya kule inashuka, Na Vita waliuza wachezaji muhimu wengi Sana , ndio maana haijapata balance mpaka leo.

Djuma ni mchezaji na anauwezo nje ya box . Yanga sio wapuuzi kumchagua Djuma. Inapokuja suala la selection ya best players , Yanga is always the best.

Simba ni Blah Blah na utapeli wa boss wao kujitia ujuaji . Angalia selection zao ambazo ni worst
Chikwende
Kahata
Rasta etc etc .
Mizigo iliyoko pale Yanga ndio huioni..?
 
Uyo Djuma taarifa zake zinaonyesha ni free agent,mmesajili mkataba wake uko Vita ukiwa umeisha,hayo madai ya mmemnunua yanatoka wapi? Yaani Gharibu uyu atoe pesa anunue mchezaji? Atakuwa labda anaumwa!! uyu myemeni atoe pesa sijui million kadhaa kununua mchezaji!! Endeleeni kujidanganya tu.
Uyo mchezaji amelipwa pesa ya usajili nusu,dalali wake yule general wa jeshi la kongo anaeimiliki timu ya meneama,na mama Khazadi na wao wamelamba mgao wao kwa kazi ya udalali shughuli ikaishia hapo.
Sera za president Tshekedi kubana makampuni ya madini pamoja na janga la corona iingie DRC uchumi umeyumba,matajili wengi wamepunguza kuweka pesa kwenye mpira ndio maana unaona timu za mazembe na vita zimeamua kujipanga upya kwa kuondoa wachezaji wazee na wenye majeruhi ya mara kwa mara.
Djuma ni Free Agent.. Utopolo Kila kitu kwao ni hoyaa hoyaa
 
Kigoma tunapiga kwenye mshono. Pale pale. Tutawa surprise tena kwa mara nyingine.


This time tunakuja na njia ya Kaizer Chief ; tunafumua mshono na kuufunga upya . This time lazima mgawanyike.

Ni katika jitihada za kuthibitisha kwamba Yanga ni kubwa na bora kuliko Simba
Yanga ni kongwe kuliko Simba..

Ubora hamfiki mkuu...
 
Back
Top Bottom