Tatizo la Mo Dewji ni Ujanja Ujanja

Tatizo la Mo Dewji ni Ujanja Ujanja

Tanzania mnajua maneno mengi na kuvaa makanzu na kukaa barazani na kahawa na kuongea abunuasi,Vita akupe mchezaji mzuri aje Tanzania tena yanga?!! Mchezaji mzuri tanzania mutamlipa nini?! Mchezaji mzuri wa DRC anaenda Belgium France,wale average players wanaenda Arabun Kuwait na China.

Ukiona mchezaji wa kongo amekuja Tanzania ujue ni mchezaji ameisha,au kiwango chake ni daraja za chini au timu za chini kama muungano,kivu stars,sangalambende as,kama makambo,kindoki,pitchou kongo, wametamba Tanzania hadi kuwa top score,wakati Kongo walikuwa wachezaji wa timu za chini.
Acheni kuvaa makanzu na vikofia na kunywa kahawa tengenezeni mupira wenu,Vita yuko anasafisha nyumba wewe unajisifu kununua sofa yake ambayo ametupa nje!!Timu za Kongo zinajijenga upya zina staafisha wazee.
Mbona mugalu wenu hujamtaja?
 
Mkuu djuma alikuwa free player, mkataba wake inaisha hii June, japokuwa tunakubali ni mchezaji mzuri ila Simba ina kapombe anatosha, yasije kutokea ya Gadiel na Zimbwe kuwa na wachezaji wazuri nafasi moja matokeo yake mchezaji mmoja atapotea,

Kwa Yanga kumchukua djuma ni sahihi maana wanaenda kuboresha nafasi ya shomari ambae kiuhalisia ameachwa mbali na djuma, Lakini pia kama jamaa asingeumia kipindi Yuko national team uwezekano wa Simba kuendelea kumtaka ungekuwa mkubwa, hongereni watani Jamaa ni mzuri Ila uongo wa kusema mmevunja mkataba acheni bana

View attachment 1845407

Kapombe kamuacha Djuma kwa muktadha gani ?
 
Hakuna ukubwa wowote angesimama juu pale kwenye Msimamo wa VPL

Unadhani kama mpira ungekuwa wa kufuata sheria Simba angekuwa Bingwa Mwaka huu.

Ni kweli huyaoni yanayoendelea... Nafananisha Simba na Mazembe kwenye suala la Fitna kupata kombe
 
Ujanja Ujanja kwa maana nyingine ni UTAPELI.

Hongereni sana Timu ya Wananchi, Dar Young Africans kwa kuvunja MKATABA wa Ndugu Djuma Shaaban na kumleta Jangwani.

Hii ndiyo maana halisi ya uwekezaji. Kununua watu ambao wanakuja kufanya kazi straightaway na sio kujifunza kazi kama zile za kina Chikwende, Mnaijeria, Kahata na wengineo.

Uwekezaji wa Mo ndani ya Simba ni wa kitapeli na wenye kutengeneza manufaa binafsi juu yake, hata Uwanja wa Timu ameshindwa kuupa jina la KLABU, ndiyo mjue mikia ni zero brain.

Hamisi Kigwangala alimaanisha sana, Ila muda utaongea.

Ni Mchezaji gani wa maana ambae Mo amewahi kumsajili kama ilivyofanya Yanga kwa Djuma Shaabani? Klabu 3 zilimtaka Djuma Shabaan.

Djuma alikiri yeye yupo tayari kwenda kokote kwenye Competitive Offer, akaweka dau lake mezani, Madam aliposikia offer hakurudi tena, alidhani ni kina Chikwende hao.

The worst part ni kuwa Djuma hakutaka any negotiation ya mshahara wake, kwa sababu anaamini katika uwezo wake. Mikia imebaki kupika majungu, eti ni mchezaji mwenye majeraha anaekaa sana nje, kama ni hivyo Madam alienda kongo kimya kimya kufanya nini?

Bakini na upupu wenu wa Bilioni 20. Timu isiyokuwa na weledi, wachezaji kulaumiwa na kusimangwa eti kwa nini wamefungwa, tunawalipa vizuri lakini bado mnafungwa; unawezaje kulaumu wachezaji kwa kigezo cha kuwalipa vizuri. Barcelona inalipa watu Bilions na bado inafungwa, nyie KENGE wa msimbazi kwa mishahara isiyozidi mil 250 kwa mwezi msifungwe kama nani.

Naiona Yanga ikileta mabadiliko ya soka Tanzania, ni suala la masiku yanayohesabika tu upepo utahama.

Tunasikia Mo anakimbizana na Makusu mchezaji ambae alishapotea muda tu, tunajua kwanini, ni utapeli na hadaa ya bei chee na uwekezaji hewa ndio umetawala.

Tunawafundisha maana halisi ya uwekezaji.

Ni wakati wa Yanga sasa, Djuma shabani ni trailer tu, Yanga inaleta vyuma vya maana bila ya kujali bei. Yanga inatema Chechee. Wiki ijayo tunatema checheee.

Kigoma. KIMOJA tu.

kimoja tu mkavurugane mbele wenyewe.

Kimoja tu, tena dakika zile zile za mwanzo.

Kimoja tu

Kimoja tu, kikipenya pyuuuuu bila maumivu

Kimoja tu
Yangaaaaa........
 
Unadhani kama mpira ungekuwa wa kufuata sheria Simba angekuwa Bingwa Mwaka huu.

Ni kweli huyaoni yanayoendelea... Nafananisha Simba na Mazembe kwenye suala la Fitna kupata kombe
Taja makosa ya simba ,,Juzi hapo umecheza na Simba wamenyimwa penat za wazi ila wamekausha match gapi nyiye yanga mnabebwa ?
 
Simba tukiwa na Ujanja Ujanja na wachezaji wabovu tumefika Robo fainari Club Bingwa Afrika mara mbili ndani ya miaka mitatu.
Yanga ambao hamna ujanja ujanja imefika wapi hii miaka Kumi.
Haya mmempata huyo Djuma mna uhakika gani kama mtafika hatua waliyoifikia Simba.
Hebu mfanikiwe kwanza ndio muanze kasifia mafanikio yenu.

Wakati wa Manji mlichukua Ubingwa wa Ligi mara tatu mfululizo na hamkufika popote.
Huyo Djuma ataishia kuua kiwango chake tu hapo Yanga.

Fanikiweni kwanza ndio muanze kutamba.
Kama mnavyotamba sasa na Mzee Mpili.
 
Back
Top Bottom