change formula
JF-Expert Member
- Sep 8, 2020
- 729
- 1,559
Uyo Djuma taarifa zake zinaonyesha ni free agent,mmesajili mkataba wake uko Vita ukiwa umeisha,hayo madai ya mmemnunua yanatoka wapi? Yaani Gharibu uyu atoe pesa anunue mchezaji? Atakuwa labda anaumwa!! uyu myemeni atoe pesa sijui million kadhaa kununua mchezaji!! Endeleeni kujidanganya tu.
Uyo mchezaji amelipwa pesa ya usajili nusu,dalali wake yule general wa jeshi la kongo anaeimiliki timu ya meneama,na mama Khazadi na wao wamelamba mgao wao kwa kazi ya udalali shughuli ikaishia hapo.
Sera za president Tshekedi kubana makampuni ya madini pamoja na janga la corona iingie DRC uchumi umeyumba,matajili wengi wamepunguza kuweka pesa kwenye mpira ndio maana unaona timu za mazembe na vita zimeamua kujipanga upya kwa kuondoa wachezaji wazee na wenye majeruhi ya mara kwa mara.