Tatizo la Mo Dewji ni Ujanja Ujanja

Uyo Djuma taarifa zake zinaonyesha ni free agent,mmesajili mkataba wake uko Vita ukiwa umeisha,hayo madai ya mmemnunua yanatoka wapi? Yaani Gharibu uyu atoe pesa anunue mchezaji? Atakuwa labda anaumwa!! uyu myemeni atoe pesa sijui million kadhaa kununua mchezaji!! Endeleeni kujidanganya tu.
Uyo mchezaji amelipwa pesa ya usajili nusu,dalali wake yule general wa jeshi la kongo anaeimiliki timu ya meneama,na mama Khazadi na wao wamelamba mgao wao kwa kazi ya udalali shughuli ikaishia hapo.
Sera za president Tshekedi kubana makampuni ya madini pamoja na janga la corona iingie DRC uchumi umeyumba,matajili wengi wamepunguza kuweka pesa kwenye mpira ndio maana unaona timu za mazembe na vita zimeamua kujipanga upya kwa kuondoa wachezaji wazee na wenye majeruhi ya mara kwa mara.
 
Sasa what is your point ?
 
daah wat mna maneno kazi ipo kweli

Kigoma tunapiga kwenye mshono. Pale pale. Tutawa surprise tena kwa mara nyingine.

This time tunakuja na njia ya Kaizer Chief ; tunafumua mshono na kuufunga upya . This time lazima mgawanyike.

Ni katika jitihada za kuthibitisha kwamba Yanga ni kubwa na bora kuliko Simba
 
Nilidhani utabainisha mapungufu yenu yaliyofanya mkakosa ubingwa. always muda huu huwa ni wa furaha kwa kila mwana utopolo duniani kwa hekaya sa usajili Ila ligi ikianza mnaanza lawama kwa karia, tff n bodi ya ligi
 
Sasa what is your point ?
Tanzania mnajua maneno mengi na kuvaa makanzu na kukaa barazani na kahawa na kuongea abunuasi,Vita akupe mchezaji mzuri aje Tanzania tena yanga?!! Mchezaji mzuri tanzania mutamlipa nini?! Mchezaji mzuri wa DRC anaenda Belgium France,wale average players wanaenda Arabun Kuwait na China.

Ukiona mchezaji wa kongo amekuja Tanzania ujue ni mchezaji ameisha,au kiwango chake ni daraja za chini au timu za chini kama muungano,kivu stars,sangalambende as,kama makambo,kindoki,pitchou kongo, wametamba Tanzania hadi kuwa top score,wakati Kongo walikuwa wachezaji wa timu za chini.
Acheni kuvaa makanzu na vikofia na kunywa kahawa tengenezeni mupira wenu,Vita yuko anasafisha nyumba wewe unajisifu kununua sofa yake ambayo ametupa nje!!Timu za Kongo zinajijenga upya zina staafisha wazee.
 
Nilidhani utabainisha mapungufu yenu yaliyofanya mkakosa ubingwa. always muda huu huwa ni wa furaha kwa kila mwana utopolo duniani kwa hekaya sa usajili Ila ligi ikianza mnaanza lawama kwa karia, tff n bodi ya ligi

Dhana haimpeleki mtu katika UKWELI
 
Sizitaki mbivu hizi
 
Hongereni watani, ila nawakumbusha tu embe n tunda la msimu....
 
Hongereni watani, ila nawakumbusha tu embe n tunda la msimu....

Yaani mashabiki wa Simba Bwana . Hivi mnadhani tar 25 mtaifunga yanga? Pole yenu sana
Sijui mtakaposhindwa kuifunga mtasema nini ? Mpira haupo hivo na wala Yanga sio mbovu.
Hii game ndiyo mtajua kweli hamjui kuwa hamjui
 
Kuna mchezaji yoyote ambae Mo alishatoa pesa kwa kuvunja mkataba. Si mnasubiri underdog kama chikwende.

Luis imetokea bahati lakin nae ni kapi , alikuja baada ya kushindwa sauzi
Kumbe kuvunja mkataba ndio mchezaji bora kweli shule muhimu.
 
Kuna mchezaji yoyote ambae Mo alishatoa pesa kwa kuvunja mkataba. Si mnasubiri underdog kama chikwende.

Luis imetokea bahati lakin nae ni kapi , alikuja baada ya kushindwa sauzi
Wanaosubiri underdog ni mabingwa back to back miaka minne na wanaovunja mikataba wamekuwa wasindikizaji kwa kipindi chote hicho na wanashiriki michuano ya kimataifa kwa kubebwa!
Kweli upeo wako wa kufikiri ni finyu kabisa!
 
Waambie batu bayanga hakuna kitu wanajua, hawa ni maskini wa akili mpaka mifuko dawa ni kuwajengea ukuta ukibishana nao hutakaa ushinde, makelele jadi yao.
Wameifunga Simba kelele kibao, wamemsajili huyo babu spana mkononi kelele kibao.
 
Yaani mashabiki wa Simba Bwana . Hivi mnadhani tar 25 mtaifunga yanga? Pole yenu sana
Sijui mtakaposhindwa kuifunga mtasema nini ? Mpira haupo hivo na wala Yanga sio mbovu.
Hii game ndiyo mtajua kweli hamjui kuwa hamjui
Naendelea kukumbusha kuwa kipindi mashabiki wa yanga wanafuraha ni kipindi cha usajili na wakiifunga simba.....
 
Nimetafuta ili nione Djuma kanunuliwa kwa sh ngapi (Usd/Tzs) ila bahati mbaya sijaona hiyo 'competitive offer'

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Hata Djuma pia alikuwa free agent. Hiki si kizazi cha propaganda ni kizazi cha knowledge. Growup
 
Naendelea kukumbusha kuwa kipindi mashabiki wa yanga wanafuraha ni kipindi cha usajili na wakiifunga simba.....

Maneno ya mkosaji. Ila Usisahau moja ya Klabu zilizokuwa zinataka sain ya Djuma ni MIKIA

MSHABIKI YOYOTE WA SIMBA AMEUMIA UKIWEMO WEWE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…