Tatizo la Mo Dewji ni Ujanja Ujanja

Mbona mugalu wenu hujamtaja?
 
Kapombe kamuacha Djuma kwa muktadha gani ?
 
Hakuna ukubwa wowote angesimama juu pale kwenye Msimamo wa VPL

Unadhani kama mpira ungekuwa wa kufuata sheria Simba angekuwa Bingwa Mwaka huu.

Ni kweli huyaoni yanayoendelea... Nafananisha Simba na Mazembe kwenye suala la Fitna kupata kombe
 
Unadhani kama mpira ungekuwa wa kufuata sheria Simba angekuwa Bingwa Mwaka huu.

Ni kweli huyaoni yanayoendelea... Nafananisha Simba na Mazembe kwenye suala la Fitna kupata kombe
Ungekuwa wa kufuata sheria yanga angelambwa juzi.
 
Yangaaaaa........
 
Unadhani kama mpira ungekuwa wa kufuata sheria Simba angekuwa Bingwa Mwaka huu.

Ni kweli huyaoni yanayoendelea... Nafananisha Simba na Mazembe kwenye suala la Fitna kupata kombe
Taja makosa ya simba ,,Juzi hapo umecheza na Simba wamenyimwa penat za wazi ila wamekausha match gapi nyiye yanga mnabebwa ?
 
Simba tukiwa na Ujanja Ujanja na wachezaji wabovu tumefika Robo fainari Club Bingwa Afrika mara mbili ndani ya miaka mitatu.
Yanga ambao hamna ujanja ujanja imefika wapi hii miaka Kumi.
Haya mmempata huyo Djuma mna uhakika gani kama mtafika hatua waliyoifikia Simba.
Hebu mfanikiwe kwanza ndio muanze kasifia mafanikio yenu.

Wakati wa Manji mlichukua Ubingwa wa Ligi mara tatu mfululizo na hamkufika popote.
Huyo Djuma ataishia kuua kiwango chake tu hapo Yanga.

Fanikiweni kwanza ndio muanze kutamba.
Kama mnavyotamba sasa na Mzee Mpili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…