BIGstallion
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 6,324
- 7,913
Siku zote wanawake hawajiamini ndo maana wanapenda approval hasa kweny uzuri wao,.. Ukiona anajiona mzuri uyo ndo mbaya kuliko wote akiwa peke yake,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matatizo yepi mpendwa Nabii Beautiful Nkosazanaheheheheheheee una matatizo sana weee mkaka
Nakusapoti kwa % zote kabisaYaani mungu kaniumba halafu nijione mbaya. Hampo serious nyie! Vyovyote mungu alivyoniumba mi mzuri tu
Anawezaje kujiona mbaya wakati hakosi wa kumtongoza,wote ni wazuri,kuwa makini kwenye kuangalia utagundua kuna kitu kizuri kwenye kila mwanamke ambacho hakifanani na mwingine...Kiukweli japo wanasema uzuri uko machoni mwa mtazamaji, lakini to some extent tunaweza kukubaliana kuwa msichana fulani ni mzuri sana, mzuri kiasi au wa kawaida.
Sasa tatizo unakutana na msichana wa kawaida ila you can tell by the look kuwa huyo msichana anajiona mzuuuri kupita kiasi. And you cleary see that it has sank onto her head kwamba yeye ni mzuri.
Je 'tatizo' hili linatokana na nini? Je ni kioo ndicho kinamdangaya? Je ni wanaume wanaomtongoza ndio wanamdanganya at yeye ni mzuuuri, au ni marafiki zake ndio wanamdanganya hivyo au?
Tatizo la msichana kujiona mzuri kupita kiasi limedisable potential za wasichana wengine. They think kuwa kila kitu kinaweza kuwa chao kwa kupewa unfair priviledge, na wengi wao hawapendi kutumia nguvu kujishughulisha ili kujipatia kipato halali...
Tatizo ni hizi camera za simu zinavyowapa watu sifa za uongo, akitupia picha fb ni likes my aka server zinajaa! Sasa mkute mwenyewe, unaweza kumsahau.Kiukweli japo wanasema uzuri uko machoni mwa mtazamaji, lakini to some extent tunaweza kukubaliana kuwa msichana fulani ni mzuri sana, mzuri kiasi au wa kawaida.
Sasa tatizo unakutana na msichana wa kawaida ila you can tell by the look kuwa huyo msichana anajiona mzuuuri kupita kiasi. And you cleary see that it has sank onto her head kwamba yeye ni mzuri.
Je 'tatizo' hili linatokana na nini? Je ni kioo ndicho kinamdangaya? Je ni wanaume wanaomtongoza ndio wanamdanganya at yeye ni mzuuuri, au ni marafiki zake ndio wanamdanganya hivyo au?
Tatizo la msichana kujiona mzuri kupita kiasi limedisable potential za wasichana wengine. They think kuwa kila kitu kinaweza kuwa chao kwa kupewa unfair priviledge, na wengi wao hawapendi kutumia nguvu kujishughulisha ili kujipatia kipato halali...
Kwa Mungu hakuna mbaya lakin kiubinadam wabaya na wazur wapoYaani mungu kaniumba halafu nijione mbaya. Hampo serious nyie! Vyovyote mungu alivyoniumba mi mzuri tu
NJOO pm nikunong'onezeHilo gono la mbwa ndio lipoje kwa mfano?
Ukishamwambia sio mzuri akajiumbe mwenyewe au?Mkuu ukitaka ukosane na mwanamke mwambie sio mzuri na ukweli sio yeye hujiona mzuri
Huna ubavu huo. Maneno tu ya kwenye keyboardDawa ya wasichana kama wewe ni kuwaambukiza gono la mbwa, utanuka hata ukitembea na fusho la ubani hutopata nafuu
Kama uko serious karibu pmHuna ubavu huo. Maneno tu ya kwenye keyboard
Denmi kuna watu wana shida acha tu. Mleta mada kakataliwa..!Yaani mungu kaniumba halafu nijione mbaya. Hampo serious nyie! Vyovyote mungu alivyoniumba mi mzuri tu
Hakuna binaadam mbaya joh, kwako utaona chongo kwa mwenzio kengeza, acheni kuingilia uumbaji wa Mungu mnapitiliza sasa, je ww unaweza kuumba hata sisimizi?
lol you guys hua mnapata shida sana na wanawake mpk huruma.