Tatizo la msichana wa kawaida kujiona mzuri, linasababishwa na nini?

Tatizo la msichana wa kawaida kujiona mzuri, linasababishwa na nini?

Huwa tunawapa moyo tu hawa tena wanajifanya ndio na pozi nyingi kweli kweli na anajiona mzuri kwelikweli ila mimi huwa hawanisumbui unaendelea kumpa bichwa tu ila moyoni ukweli unajulikana.
 
Silaha pekee ya mwanamke itayomsaidia kumpeleka mahali anapopataka ni kujiamini, mwache ajiamini wewe endelea kumuona wa kawaida ila kujiamini kwake kutaweza either kumkosesha vingi au kumuepusha na mengi
Kuna Kujiamini na Kuringa. Being Confident vs Peacocking

Hii Simu Sio Ile, Hii Ni Hii
 
Uzuri wa nyumba ni thamani/samani zilizomo ndani na siyo muonekano wa nje.
 
sasa kama wanajiona wazuri na ww unawaona wabaya mbn hesabu rahisi sana hapo! si UTOE? 2-2=0! Then endelea na yako
 
Chura ndio sababu...madem weny chura kubwa wanaringa sana aisee
 
Dawa ya wasichana kama wewe ni kuwaambukiza gono la mbwa, utanuka hata ukitembea na fusho la ubani hutopata nafuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Msichana anayedhaniwa kuwa wa kawaida au sio mzuri akijiona mzuri mbele za watu hiyo mimi ndio naita 'KUJIAMINI'.
Natamani wasichana wote wajiamini.
 
Kuna mmoja niko naye hapa mtaani ni wa kawaida saana af mweusi tiii.nkaona nimtongoze ili angalau na yy ajisikie.daah nmeshangaa kananizingua balaaa,af mapoz kibao.nmeamua kufuta namba yake,
mkuu BILGERT unajuaje kama kumtongoza wewe kumemfanya ajisikie? Unajuaje ikiwa kuna wanaume wenzio kutwa hawali wakiwaza watampataje?? unafikiri ni kwa nini kakuzingua?
 
Unakuta binti wa kawaida ila ananata vile sijapata ona!

Asa ufanyeje? Unacheka moyoni huku unashusha maji ya baridi kwa glass!

Steve Jobs - Giant Of Technology.
 
Yaan huwa nataman niwachape makofi,kuna mmoja huyo hana tako,ni mweusi tii,ananuka mdomo lkn anavyonata sasa dadeq balaaa
Ila sasa wale ambao ni wazuri real kabsa aisee huwa hawaringi kabsa yaan hata ukiomba no unapewa kiroho safi kabsa!...nadhan kuringa ni tabia kama tabia zingne tu

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom