Tatizo la msichana wa kawaida kujiona mzuri, linasababishwa na nini?

Siku zote wanawake hawajiamini ndo maana wanapenda approval hasa kweny uzuri wao,.. Ukiona anajiona mzuri uyo ndo mbaya kuliko wote akiwa peke yake,
 
Maneno ya watu, ya kumsifia sifia sana ndiyo yanamfanya ajione mzuri sana...

Lakini pia kila binadamu ni mzuri kwa mitazamo yake mwenyewe... Na kwa mtazamo wa yule anayemuangalia...



Cc: mahondaw
 
Hakuna binaadam mbaya joh, kwako utaona chongo kwa mwenzio kengeza, acheni kuingilia uumbaji wa Mungu mnapitiliza sasa, je ww unaweza kuumba hata sisimizi?
lol you guys hua mnapata shida sana na wanawake mpk huruma.
 
Anawezaje kujiona mbaya wakati hakosi wa kumtongoza,wote ni wazuri,kuwa makini kwenye kuangalia utagundua kuna kitu kizuri kwenye kila mwanamke ambacho hakifanani na mwingine...
 
Tatizo ni hizi camera za simu zinavyowapa watu sifa za uongo, akitupia picha fb ni likes my aka server zinajaa! Sasa mkute mwenyewe, unaweza kumsahau.
 
Dawa ya wasichana kama wewe ni kuwaambukiza gono la mbwa, utanuka hata ukitembea na fusho la ubani hutopata nafuu
Huna ubavu huo. Maneno tu ya kwenye keyboard
 
Mwanamke anaekeep real yaan OG akiringa ni haki yake kabsaaa
Tatizo kuna mianamke ikofake ile mbaya unakuta kamtu kamejipigilia wigi, kope, kalio la kichina, ngozi ya mkorogo halaf anariiinga + nyodo nyingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenikbusha mbali....
Hii tabia wanayo wqsichana wa kimbulu/Iraq
 
Hakuna binaadam mbaya joh, kwako utaona chongo kwa mwenzio kengeza, acheni kuingilia uumbaji wa Mungu mnapitiliza sasa, je ww unaweza kuumba hata sisimizi?
lol you guys hua mnapata shida sana na wanawake mpk huruma.

Wewe hua hupati shida nao,, ..!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…