Tatizo la msichana wa kawaida kujiona mzuri, linasababishwa na nini?

Na huko Insta wanajiita 'Queen'
Wasio na Kingdom lakini๐Ÿ˜…๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜…
 
Mkuu MCHAWI wa kwanza ni kioo ,,,siku zote kioo ndy kinacholeta matatizo,,kioo ndy kinafanya mwanamke ajisikie,,ajione mzuri hata kama ana kichwa kama mbegu ya ubuyu..
Kama sio kioo basi leo hakuna mwanamke ambaye angeringa mbele za mwingine,,,
 
Acha kukufuru uumbaji wa Mwenyezi Mungu mzee
 
Wanaume huwadanganya hivyo ili wawapate siyo kosa lao
 
Wanaume wanaokuwa nao ndio huwadanganya.
 
Kwahiyo ulitaka ajione mbaya...au mtu akimsalimia aseme Mimi mbaya.. MUACHE ajione mzuri Tatizo liko wapi mtu kujiamini?
 
Mkikataliwa nnaanza kusema kwanza mbaya TU...katongoze hao wazuri... Huwaoni?
 
Hiyo kawaida sana kwa wanawake wabaya au wa kati,utakuta msichana ana sura km ya Kagere lkn malingo yake sasa balaa.
 
Uzuri alionao ndani ambao hauonekani kwa macho ya nje ndo unafanya aoneshe kwa nje kuwa yeye ni mzuri. Usipojua huwezi kuelewa na usipoelewa huwezi jua kabisaaa.
Mmhh!!!,Uzuri wa ndani???,Ndo upo je?
 
Silaha pekee ya mwanamke itayomsaidia kumpeleka mahali anapopataka ni kujiamini, mwache ajiamini wewe endelea kumuona wa kawaida ila kujiamini kwake kutaweza either kumkosesha vingi au kumuepusha na mengi
Nilijua tu hii komment imetoka kwa mwanamke.
 
Ugonjwa huuu wa psychology nmedahau unaitwaje
 
Mkuu;
Jibu mbona rahisi tu. Miluzi mingi na zile tsssssiiii apitapo vijiweni. Huwa anabadili hata hatua. Lift lift na kuangaliwa kwenye sight mirror. Kumbe si lolote si chochote, usiku gizani wote wamefanana tu
Daaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ