Tatizo la msichana wa kawaida kujiona mzuri, linasababishwa na nini?

Uzuri wa mwanamke upo kitandani
 
Mademu wa kawaida wanakuwaga very simple hivyo wengi wanawashobokewa sana ni rahisi wao kujiona wazuri sana sababu ya attention wanazopata, mademu wakali classic wana filtering mechanism kubwa sana alafu sio rahisi wanaume kuwashobokea sana
 
Kujiamini..kujiamini...hata Kama nafanana na babu yangu ila Mimi mzuri bwana..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mleta mada Kunywa maji.
 
Kwa kutongozwa baadhi ya wasichana malimbukeni wanapotongozwa-tongozwa na watu mbalimbali hujigundua kumbe wao ni wazuri!
Bila kujua kwamba hata angekuwa na sura ya mbuzi bado raia wangeulizia kali tu ilimradi tu kile kiorgan kipo Basi raia wanakazi nacho
muonekano ni ziada tu
Watongozaji wanaweza kuongezeka sana kadri unavyopatikana kwa urahisi

Mabaharia hupeana taarifa jinsi ulivyo maharage ya uyole na hivyo hata madomo zege hupata pa kusererekea na hilo ongezeko limbukeni hulitafsiri kama yeye ni mrembo sana na wanaume wengi wanampenda
 
Mwanamke au msichana akishakuwa na jinsia ya "ke''wote ni wazuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…