Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Kila mtu ni mgonjwa mtarajiwa. Wagonjwa wa leo, jana walikuwa na afya njema. Pia kumbuka, hujafa hujaumbikaAngalia usije ukawa mgonjwa mtarajiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila mtu ni mgonjwa mtarajiwa. Wagonjwa wa leo, jana walikuwa na afya njema. Pia kumbuka, hujafa hujaumbikaAngalia usije ukawa mgonjwa mtarajiwa
Akaulizie ataambiwa,Wenzake kina nani sasaa..
Jifunze kupitia link hii VIDEO: Jinsi ya kuitumia JamiiForums (Wageni na Wanachama)Natamani kuwa naleta uzi sema sijui jinsi ya kupost
Ha ha ha, labda yuko dukani full time siku hizi.
Teh teh...Mpendwa husiwasikilize hao
Nenda dukani..Leo yupo Douta pale...
Teh teh..We ratiba yako si uwa wikends ama?
Tuhuma zipi mpendwa mie mtakatifuu