Tatizo la mtu kuongea peke yake: Fahamu visababishi na namna ya kutatua shida hii

Tatizo la mtu kuongea peke yake: Fahamu visababishi na namna ya kutatua shida hii

principles of counselling don't in a position to speculate more information from a client will feel as if you are looking for private life, study careful what he/she speaks and you will understand the problem[emoji3]
I don't understand what exactly you wanna advice me. Can you please give a clear elaboration to make my life easy? Thanks in advance
.
 
ESPIRIT,
Omba msamaha kwa ulio wakosea ama kuwatumia, nenda kaombewe na anza kumuabudu mungu. funga ndoa na anae kupenda, nidumu nae. ishi kwa amani na upendo. la sivyo milembe milele, utavua nguo. mungu akusaidie.
 
We vip yeye peke take maisha yanamchanganya Mpaka anaongea peke yake je akiwa na Mke si ataokota makopo
Mkuu you need a wife. Miaka 30 si muafaka kuwa peke yako. Ila utulie upate mwanamke anayefaa. Utaongea naye badala ya kuongea peke yako. Nahisi unampenda huyo rafiki yako na imekuchanganya kiasi ndiyo maana unaongea peke yako. Solution oa.
Mkuu you need a wife. Miaka 30 si muafaka kuwa peke yako. Ila utulie upate mwanamke anayefaa. Utaongea naye badala ya kuongea peke yako. Nahisi unampenda huyo rafiki yako na imekuchanganya kiasi ndiyo maana unaongea peke yako. Solution oa.
 
Nashukuru sana kwa ushauri, ntakutumia ipasavyo
 
Asante Jje's huyo rafiki yangu kuna mipishano kidogo tu, kwamba nataka a endelee na shule lakn ananinunia hata siku I napita hajabip nkipiga anaongea kama hataki. Ila nina mtoto nae!!

kutopenda shule inanifanya niumie, had mda mwingine nikiongea na watu wengine nakuwa mwepesi sana.

Nasema kuwa mwepesi nikiwa na maana naona kama kuna ka mzigo nimetua. Na imefika mda hata simmisi tena
 
I don't understand what exactly you wanna advice me. Can you please give a clear elaboration to make my life easy? Thanks in advance
.
It was an attempt of showing that she knows not necessarily what your problem is, just knowing...... In a way she needs help as well.
 
Kwenye kuunganishia ka wimbo hapo ndio nimecheka ingawa sio ya kucheka...
 
Hapo daktari wa kwanza ni wewe, ikubali hiyo hali halafu anza kuitafutia tiba
1. Jipe uwezo wa kumuomba Mungu kwa dhati akuondoe humo

2. Mtumainie Mungu kwa akili yako yote.

3. Jifunze kuishi peke yako bila kuteteleshwa na uwepo wa mpenzi au kuyasujudu mapenzi.

Hayo yanaweza yakawa moja ya namna ya kukusaidia
 
ESPIRIT,

Inaelekea huyo demu wako ni msukule au la anataka kukufanya wewe kuwa msukule wake wa baadaye ili awe anakuchuna. Pole sana mwenzetu.
 
Hali kama hiyo iliwahi nikuta '13, nilipotengana na aliekuwa mpenz wangu niliempenda kupitiliza, nikaja kugundua anadate na hommie wangu ambae nimekuwa nae tangu darasa la 3. Niliumia, niliteseka na nilidhoofika sana. Na mbaya zaid wote walikuja kukubali kuwa wanadate na wanapendana hawawez kuachana.

Chozi lilikuwa linanitoka ka mtoto popote nnapokaa nalifikiria hilo swala, nilipoteza uwezo wa kufikiri, nilikuwa naongea mwenyewe, vitu nilikuwa nasahau pahala napoweka. Nakumbuka kuna siku nilipotea kariakoo nikaja kugutuka nakaribia Lumumba wakat mimi nilikuwa naenda stendi ya mbagala. It was terribly terrible.

Mambo mengine mpaka yakukute, waweza kuyatolea ushaur au ushuhuda vizuri. Pole ndugu
 
Asante Jje's huyo rafiki yangu kuna mipishano kidogo tu, kwamba nataka a endelee na shule lakn ananinunia hata siku I napita hajabip nkipiga anaongea kama hataki. Ila nina mtoto nae!! kutopenda shule inanifanya niumie, had mda mwingine nikiongea na watu wengine nakuwa mwepesi sana. Nasema kuwa mwepesi nikiwa na maana naona kama kuna ka mzigo nimetua. Na imefika mda hata simmisi tena

Usipende kuwaza Sana na kuumia Kwa niaba ya mambo ya watu wengine huyo mpenzio Ndio mtu mwingine ninayemzungumzia hapa Kama hataki shule we tulia uje usomeshe mtoto wako je utapenda mwanao awe na baba mwehu Kwa sababu ya matatizo ya mama kukataa shule?

Pole Sana Kama kweli unaongea peke yako na sababu unaijua tayari acha Mara moja songesha mbele usawa mgumu huu ,


Pia naomba Usipende kuongea peke yako njoo uongee na Mimi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23](joke)
 
Asante Jje's huyo rafiki yangu kuna mipishano kidogo tu, kwamba nataka a endelee na shule lakn ananinunia hata siku I napita hajabip nkipiga anaongea kama hataki. Ila nina mtoto nae!! kutopenda shule inanifanya niumie, had mda mwingine nikiongea na watu wengine nakuwa mwepesi sana. Nasema kuwa mwepesi nikiwa na maana naona kama kuna ka mzigo nimetua. Na imefika mda hata simmisi tena

wewe kweli hujakua siku moja tu ikipita unakufa?? watu wanachuniwa week 2 na bado wanajitahidi wako stable na baadae mambi huwa mazuri
 
We vip yeye peke take maisha yanamchanganya Mpaka anaongea peke yake je akiwa na Mke si ataokota makopo
It depends na mke anayemtafuta. Kama ataoa catalogue basi hayo uanayosema yatatokea. Otherwise watu wasingeoa na kuolewa. Atafite mke mwema hatawaza. Watasaidiana katika kila kitu. Tatizo la vijana wengi wanaoa catalogue badala ya kutafuta wife material.
 
tukianza kutetea single women over 40 mnatuita desperate.

ni Mtu tu hujawahi kuona watu waliochizika kisa mapenzi. watu wanakuwa walevi kufa. watu wanaishia kuchizika na madawa. watu wanapata msongo wa mawazo. wengine ndo Hawa wanaishia kuongea wenyewe.

msipende kuambia watu, esp. vijana kuwa mapenzi ndo kila kitu. ataona Hiyo ndo life goal yake! kama ndo mpenzi wake wa kwanza ndo atachizika kabisa. na muache kusema sema watu ambao hawajaoa au kuolewa...

Mtu aliyechanganyikiwa kisa mapenzi unamuuliza "enhee kwa Hiyo ukimpata huyo Dada ndo mtakaa kukumbatiana siku nzima for the rest of your life?"

hakuna anayetaka mpenzi ambaye hana maisha. mwenzako huko busy huko we umekaa huna shughuli, unamuwaza yeye tu amalize shughuli zake akae na wewe. siku inakuwa ndeefu.

you need to get a life. get busy. get a hobby. unaweza ukachoka kiasi kwamba akikupigia simu unaona kero.

Fanya mazoezi. soma vitabu. nunua video games. jifunze graphic designing. nenda swimming. au hata iwe unatutengenezea makala JF. (and all the fun stuff that I don't know about because I'm a very boring person)

sio kuunda club ya wanywaji. au kushinda unaangalia romantic movies.

utapata mtu bila hata kutegemea.

ukikaa bila shughuli yoyote lazima hormones zipande...utamuona huyo Mtu ndo kola kitu..
 
Back
Top Bottom