Tatizo la Nape ni ubinafsi, chuki na sononeko. Kiongozi wa namna hii hatufai hata kidogo

Alikwenda Ikulu kuomba msamaha kwa mambo mengine ambayo hayahusiani kabisa na hii issue.

Mnaoyetea, labda mtupe mahesabu hizo pesa zilitumikaje. Walau tu kwa kutupa bei ya Dreamliner....!!

Awamu ile tuliaminishwa kuwa tunatumia pesa yetu ya ndani sasa hilo deni limetoka wapi? Nape is right.
 
kweli nape ana tabia za kujiona yeye ndio mwenyewe
 
Halafu mtegemee maendeleo ?!
Ukweli sitegemei maendelo tena, kwani hayo yalikufa na Magufuli.

Leo hii tunarudi kule kule tulikotoka. Angalia miradi aliyoacha Magufuli na jinsi serikali inavyohangaika jinsi ya kuisimamia hadi kutaka kuiua kwa vile hawana capacity ya ku-handle miradi ya aina hiyo na kupata pasenti yao. Magufuli aliweza kusimamia JKNA hadi ikakamilika ingawa alirithi mradi ule ukiwa na madudu mengi hadi makandarasi kutaka kujitoa. Leo hapa tunaovyosikia na ni lawama tu za tunakotoka, badala ya kuangalia tunakokwenda!
 
Tanzania ni miongoni mwa nchi chache duniani zilizobahatika kupata Rais ambaye ni mwanasayansi kitaaluma.

Kwenye sayansi hakuna propaganda wala kelele nyingi ni mwendo wa tafiti na KAZI.
Hivyo wanasayansi kote duniani hulindwa na kazi zao.

Hayati Magufuli kazi zake zitamlinda milele yote kwani Wanasiasa watapita lakini SGR, Tanzanite bridge, Bwawa la Nyerere nk....nk vitabaki kumshuhudia.

Jumaa kareem!
 

Sayansi za nyungu na chanjo utakuwa ulizikumbuka kweli wewe?
 
Nape aliwafufulia chama miaka ile kidogo ccm ijifie, mkaja kumtupa dustbin hata ningekuwa mm ningewapanikia.

Kinana sema tu hanaga maneno mengi ila mlivyowatenda siyo.
 
Deni LA taifa likikaguliwa kuna MTU atazidi kudhalilika huko alipo!!!
Ccm pambaneni kuokoa hii aibu!!!tr 10+ ndan ya miaka mitano!!??
Ooooo uchumi wa kati !!! Ooo blabla sasa mnaumbuka
 
Magufuli aliididimiza nchi ila wapumbavu hawakuelewa!!! Tr 10+ in 5 years!??
 
Amefail !!! Asante mungu 17/3
 
Magufuli aliididimiza nchi ila wapumbavu hawakuelewa!!! Tr 10+ in 5 years!??
Wapumbavu ndio hawakuona maendeleo yaliyofanywa na Magufuli kwani hawakuzowea maendeleo kwa hiyo hawakuyajua.
 
Wapumbavu ndio hawakuona maendeleo yaliyofanywa na Magufuli kwani hawakuzowea maendeleo kwa hiyo hawakuyajua.
Mwombeeeni msamaha kiburi chenu hakina faida yeyote kwake huko aliko 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…