Lorenzo Samike JF-Expert Member Joined Jun 18, 2021 Posts 1,187 Reaction score 1,914 Nov 12, 2021 #41 Abdulhayy said: Kichuguu bhana,kila nafsi itaonja umauti [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hivi hauna ndoto ya kuongoza malaika huko? [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Click to expand... Acha utoto wewe
Abdulhayy said: Kichuguu bhana,kila nafsi itaonja umauti [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hivi hauna ndoto ya kuongoza malaika huko? [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Click to expand... Acha utoto wewe
Abdulhayy Senior Member Joined Oct 11, 2021 Posts 178 Reaction score 139 Nov 12, 2021 #42 Lorenzo Samike said: Acha utoto wewe Click to expand... Kumbe ngosha mkuu alikua mtoto 🤣🤣🤣 Naona muda huu atakua anawasimamia malaika kwenye ujenzi wa ukuta huko paradise🤣🤣🤣
Lorenzo Samike said: Acha utoto wewe Click to expand... Kumbe ngosha mkuu alikua mtoto 🤣🤣🤣 Naona muda huu atakua anawasimamia malaika kwenye ujenzi wa ukuta huko paradise🤣🤣🤣
Lorenzo Samike JF-Expert Member Joined Jun 18, 2021 Posts 1,187 Reaction score 1,914 Nov 12, 2021 #43 Abdulhayy said: Kumbe ngosha mkuu alikua mtoto [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Naona muda huu atakua anawasimamia malaika kwenye ujenzi wa ukuta huko paradise[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Click to expand... Acha utoto.
Abdulhayy said: Kumbe ngosha mkuu alikua mtoto [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Naona muda huu atakua anawasimamia malaika kwenye ujenzi wa ukuta huko paradise[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Click to expand... Acha utoto.
Abdulhayy Senior Member Joined Oct 11, 2021 Posts 178 Reaction score 139 Nov 12, 2021 #44 Lorenzo Samike said: Acha utoto. Click to expand... Lucifer anaongoza malaika 🤣🤣🤣
F FUSO JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 34,181 Reaction score 41,563 Nov 12, 2021 #45 Kuibua hoja ya kutaka kulipekua deni letu la taifa imekuwa nongwa ?
I ILLUMINATI RUMI JF-Expert Member Joined Aug 21, 2018 Posts 323 Reaction score 327 Nov 12, 2021 #46 Niza doyi said: Huyu Nape si ndo walitufanya sisi wa CCM tuwe tunaficha mpaka magwanda yetu kukwepa kutukanwa. Leo anahoji?[emoji23][emoji23][emoji23] Click to expand... Hiyo Hali ya kuficha magwanda ya kijani itajirudia tu,Kwa hawa kina January makamba na Nape,hawana ushawishi Tena kuipigia ccm kura.kwanza ni wanafiki,matapeli,na haeleweki wanasimamia kipi,wanajali matumbo Yao tu,
Niza doyi said: Huyu Nape si ndo walitufanya sisi wa CCM tuwe tunaficha mpaka magwanda yetu kukwepa kutukanwa. Leo anahoji?[emoji23][emoji23][emoji23] Click to expand... Hiyo Hali ya kuficha magwanda ya kijani itajirudia tu,Kwa hawa kina January makamba na Nape,hawana ushawishi Tena kuipigia ccm kura.kwanza ni wanafiki,matapeli,na haeleweki wanasimamia kipi,wanajali matumbo Yao tu,