Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Hili ndio tatizo: Kulinda wauaji, majizi na mafisadi hata kama yanagharimu nchi na watu wake
Huu mfumo una nguvu katika nchi za hovyo hovyo na kidogo umedhibitiwa katika nchi zilizostaarabika zinazoheshimu raia wake na zenye mifumo inayolinda maliasili za nchi dhidi ya ujambazi wa viongozi.
Majeshi katika nchi zetu hizi ni kulinda watawala wabovu hata kwa gharama ya mchi na watu wake tena yakiona sifa kudhibiti wananchi kwa mitutu utadhani yenyewe au familia zao haziathiriki au hazitaahirika.
Kwahiyo, kukosekana kwa wazalendo katika vyombo vya ulinzi na usalama, hdio chanzo cha nchi nyingi kutawaliwa na viongozi (wanasiasa) majizi, majambazi, waabinfsi na wauji .
Inakera sana!