ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Eti wakuu Nina kama mwezi hivi ninanunua vichwa vya chaji na cable karibia laki imenitoka nikibadilisha kichwa hasa cha oraiomo ndo naona vinapatikana sana madukani vinafanya kazi baada ya week kinaanza kuzingua pia hata cable nabadilisha zinazingua baada ya muda.
Naombeni uzoefu wenu watu ambao mnahama hama sana.
Naombeni uzoefu wenu watu ambao mnahama hama sana.