Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 26,721
- 98,896
Cc ndege JOHNN
Chaja og ninazo dear tena bei kitonga kabisa
Cc ndege JOHNN
Chaja og ninazo dear tena bei kitonga kabisa
Ila shida yake nahisi ni system charger Yake ina shida.abadilishe kwanza
Tena VPN ndo kabisa zinapunguza lifespan ya bettery health.... Kucheza games simu ipo chaji na data ziko ON respectively ni tatizo..Kama una VPN & unacheza ma-game hayo ndio matokeo
Oraimo ni chaja zinazofanya kazi ipasavyo ila sio Imara, zina tabia ya sehemu ya kuchomeka usb kuwa loose,Eti wakuu Nina kama mwezi hivi ninanunua vichwa vya chaji na cable karibia laki imenitoka nikibadilisha kichwa hasa cha oraiomo ndo naona vinapatikana sana madukani vinafanya kazi baada ya week kinaanza kuzingua pia hata cable nabadilisha zinazingua baada ya muda.
Naombeni uzoefu wenu watu ambao mnahama hama sana.