ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Unatumia simu aina GaniEti wakuu Nina kama mwezi hivi ninanunua vichwa vya chaji na cable karibia laki imenitoka nikibadilisha kichwa hasa cha oraiomo ndo naona vinapatikana sana madukani vinafanya kazi baada ya week kinaanza kuzingua pia hata cable nabadilisha zinazingua baada ya muda.naombeni uzoefu wenu watu ambao mnahama hama sana.
SamsungUnatumia simu aina Gani
Ni janga nasikia pia ku share chaji ni tatizoMe too
Cc: Abigail & harmonize
Itakuwa system charger yako mbovu boss .kaicheki ubadilisheEti wakuu Nina kama mwezi hivi ninanunua vichwa vya chaji na cable karibia laki imenitoka nikibadilisha kichwa hasa cha oraiomo ndo naona vinapatikana sana madukani vinafanya kazi baada ya week kinaanza kuzingua pia hata cable nabadilisha zinazingua baada ya muda.naombeni uzoefu wenu watu ambao mnahama hama sana.
Bichwa eehNenda kanunue chaja kwa BICHWA KOMWE COMPLEX STORES
Sana, Bora Useme Sina maana ikiharibika watengeneza mwenyeweNi janga nasikia pia ku share chaji ni tatizo
Badili simu shida ni simu unayotumiaSamsung
MambooooBichwa eeh
Unatumia samsung ya Aina gani?Eti wakuu Nina kama mwezi hivi ninanunua vichwa vya chaji na cable karibia laki imenitoka nikibadilisha kichwa hasa cha oraiomo ndo naona vinapatikana sana madukani vinafanya kazi baada ya week kinaanza kuzingua pia hata cable nabadilisha zinazingua baada ya muda.naombeni uzoefu wenu watu ambao mnahama hama sana.
Chaja og ninazo dear tena bei kitonga kabisa