Tatizo la Tanzania ni kudhani kwamba Watoto wa viongozi nao wanaweza kuwa viongozi

Hilo ndilo tatizo litakalokuja kufanya gen z ya hapa iingie mtaani.

Maana wamewajaza kwenye nafasi za uteuzi, ajira na kila penye unyeti wamekamata wao.

Sasa hawa wanyonge nao wanapata fursa ya kusoma ingawa elimu zao ni duni ila zinatosha kuwapa ufahamu.

Sasa wakiona wanaendelea kukaa tu na ramani hazisomeki kitawaka.

Rasilimali zinauzwa, wanaona ajira hakuna, umaskini unawapiga , uchumi mgumu.

Serikali ijitahidi kubalance mambo kuepukana na mambo kama haya huko mbeleni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…