Tatizo hata viongozi tulionao hawana sifa za kuwa viongoziHapo ndipo tunapojikuta tunataabika na kuokota Magarasa na kuyapa uongozi.
Uongozi ni Karama kutoka kwa Mungu, haujawahi kuwa urithi wa Ukoo, sasa hapa ndipo ambapo Mamlaka za Uteuzi zinapoboronga
View attachment 3050462