Tatizo hata viongozi tulionao hawana sifa za kuwa viongoziHapo ndipo tunapojikuta tunataabika na kuokota Magarasa na kuyapa uongozi.
Uongozi ni Karama kutoka kwa Mungu, haujawahi kuwa urithi wa Ukoo, sasa hapa ndipo ambapo Mamlaka za Uteuzi zinapoboronga
View attachment 3050462
Anachangisha michango na mkurugenzi wa mahesabu chadema yeye ndio anasimamia gazeti la chama!Ana cheo gani?
Jikite kwenye hojaHilo neno ^wanaweza^ jinsi ulivyolitumia linafanya uonekane mwenye akili duni na uwezo wa fikra unaotia shaka.
Kwani hao hujawaona? Open your eyes and look within.Aisee!Sasa itakuwaje kwa watoto wa kufikia au wa kubambikwa?Maana DNA zinakataa kuenenda kwa mnyororo wa kiuongozi.
NB;Uchokozi si kitu chema huacha maumivu.
Chadema inamiliki gazeti gani?Anachangisha michango na mkurugenzi wa mahesabu chadema yeye ndio anasimamia gazeti la chama!
😆😆😆😆Mshana nina siku sikuoni humu ulikuwa Msata?
Huyu brother wa kinyiramba kajawa vituko vya kila aina.Hapo ndipo tunapojikuta tunataabika na kuokota Magarasa na kuyapa uongozi.
Uongozi ni Karama kutoka kwa Mungu, haujawahi kuwa urithi wa Ukoo, sasa hapa ndipo ambapo Mamlaka za Uteuzi zinapoboronga
View attachment 3050462
Nje ya madaEry vipi mbona hupaparikiii ya kibu Denis kama unavofanyaga Kwa taarifa zenye sintofahamu kuhus Yanga?
Unajikitaje kwenye hoja ambayo mantiki yake ni sifuri?Jikite kwenye hoja
Yule msajili wa CCM hapa huwezi kumuona anakemea watoto kuingia kwenye siasa, jinga kabisaHapo ndipo tunapojikuta tunataabika na kuokota Magarasa na kuyapa uongozi.
Uongozi ni Karama kutoka kwa Mungu, haujawahi kuwa urithi wa Ukoo, sasa hapa ndipo ambapo Mamlaka za Uteuzi zinapoboronga
View attachment 3050462
AiseeeeWatoto wanaandaliwa kuja kulinda ufisadi wa baba zao, Mkapa alikiri kuiba zaidi ya bilioni 150 kusaidia uchaguzi wa CCM 2005, badala ya kukamatwa na kupelekwa mahakamani kwa ufisadi na wizi wa mali za wanyonge, akaendelea kula mafao na posho kibao.
Soma kitabu chake my purposeAiseeee
NinachoSoma kitabu chake my purpose
Anabebwa na ushirikina pekeeHuyu brother wa kinyiramba kajawa vituko vya kila aina.
Tuna mfumo wa kijinga sn, mtu anakiri wizi wa mali za umma lakini anapigiwa makofi badala ya kukamatwa ndiyo maana wamejiwekea kinga ili waibe bila hofuNinacho
uweke pia na ya JAMES MBOWE, BABA YAKE NA BABA MKWE WAKEHapo ndipo tunapojikuta tunataabika na kuokota Magarasa na kuyapa uongozi.
Uongozi ni Karama kutoka kwa Mungu, haujawahi kuwa urithi wa Ukoo, sasa hapa ndipo ambapo Mamlaka za Uteuzi zinapoboronga
View attachment 3050462