Don Andrew
Member
- Apr 3, 2024
- 5
- 4
Katika maisha ya soka dunia nzima vijana ndio msingi mzuri wa maendeleo ya soka. Katika taifa letu la Tanzania jamii ikiongozwa na TFF kwa msaada wa serikali imekuwa ikijitahidi kuinua mchezo wa soka, lakini inasikitisha kuona wanachokifanya ni KUTENGENEZA PAA LINALO MEREMETA WAKATI MSINGI NI WA TOPE KATIKA NYUMBA YA GHOROFA.
Timu za under 17 zimekuwa zinakosa directions kabisa hadi inafikia kushindwa kushiriki mashindano muhimu kabisa hasa ligi lao la U17 inasikitisha kwa maendeleo ya soka letu.
Timu ya DODOMA JIJI U17 imeshindwa kushiriki kwa madai ya kukosa fedha ya kuihudumia timu ikiacha ndoto na vipaji vya vijana wengi kubaki dailema na kuhisi kukata tamaa.
Ombi langu kwa taasisi husika TFF wenye dhamana ya kukuza soka la hapa nchini na serikali kwa ujumla kuzipa motisha SIMBA NA YANGA au kuzingatia ligi kuu sio kukuza michezo bali ni ku komaza kilichokuwepo ila ku engage na kuwekeza kwa vijana ndio kukuza.
Nina shauri ule mpango wa kujenga shule maalumu za michezo kila mkoa kama umeshindikana basi zile shule za vipaji ziludishwe maana mtaani kuna vijana wengi wanategemea soka ili kutoboa kwenye maisha yao ila ufinyu wa nafasi na uwekezaji dume unawakwamisha na badae ongezeko la wasio na ajira mtaani linaongezeka.