Tatizo la ukavu wa uke linasababishwa na nini?

Tatizo la ukavu wa uke linasababishwa na nini?

Fabian Vitus

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2022
Posts
5,828
Reaction score
7,532
Hili suala la kuwa umemwandaa mwanamke kwa muda fulani Kisha mkaanza game limekolea mara utelezi unaisha mnalichukuliaje? Hii ni shida mpya kwa wanawake wa sasa.

Inafikia kipindi mnaboa kuweka mimate iko na bakteria, unaenda kuua ulinzi wa uke. Msiwe mkishupalia kuwa hamuandaliwi vya kutosha kumbe kujiandaa pia hamjui.

Vijana wenzangu hapa tuite kikao cha dharura ama tuvunge?
 
Back
Top Bottom