Anyway hii sio shida ya kuzaliwa hapana inatokana na utendaji wa hormones katika mwili lakini Mara nyingi hutokana na mwanamke kuwa ametumia madawa mengi na hasa contraceptives. mtu huyu atumie dawa au virutubisho vya Ku boost up hormones ili awe analowa unapomtekenya.wakati ukimtibia kwa njia hiyo jaribu kuwasiliana na waganda zipo herbs zinatibu analowa kabisa wangu alikuwa hivyo amepona, mkuu kila Mara usingenikosa na KY boots mfukoni!
Nashukuru sana mkuu, japo niliwahi kuonana na dr mmoja akasema dawa zipo ila zna madhara na madhara yake atakuwa na k ya maji mengi mno kiasi kwamba inaweza kwa kero. Sasa ulitumia dawa zipi mkuu
Anyway hii sio shida ya kuzaliwa hapana inatokana na utendaji wa hormones katika mwili lakini Mara nyingi hutokana na mwanamke kuwa ametumia madawa mengi na hasa contraceptives. mtu huyu atumie dawa au virutubisho vya Ku boost up hormones ili awe analowa unapomtekenya.wakati ukimtibia kwa njia hiyo jaribu kuwasiliana na waganda zipo herbs zinatibu analowa kabisa wangu alikuwa hivyo amepona, mkuu kila Mara usingenikosa na KY boots mfukoni!
mkuu, ukweli dawa za hospital hakutumia tuliogopa hicho hicho, side effects maana linawezs kuwa dimbwi ingawaje kwa wanyarwanda, waganda na Nshomire was halo kwetu hiyo ni jadi cha kufanya nenda Dynapham au jaws wrote wanaotoa virutubisho vya mwili update virutubisho vya Ku boost hormones atapona mkuu huo sio ugonjwa!! vile vile mwambie apunguze stress mkuu cjui una nyumba ndogo?
Mkuu hizi tab zinamiss behave kwenye lugha sababu zimesetiwa kinyamwezi nasema wote wale wanasambaza food supplements hawakosi hizo lishe. pia Mimi nakaa Goma DRC I will be going to Mombasa via Kampala soon next week fortunately enough I have the # for the herbal Dr who prescribed me the medicine I will see him and Give you the feed back ni chupa kama 2 anarudi normal. na nitakununulia mkuu nikutumie mahali upo.
Mkuu, hebu mjaribu hii kitu uone matokeo yake.
mmmmhh! Huko hapana mkuu. Hyo ni first aid hapa nataka msaada wa kumaliza kabisa hilo tatizo.
Hayo mambo ya kwenda dukan kununua halafu watu wanakuangalia kwa jicho la pili hapana mm siwez.
Kama condom yenyew kuulizia ni ishu ndio iwe ky
itakuwa vema sana mkuu
Hana hisia na wewe kabisa huyo. Kuna mkunandiko anamuwaza Au Labda hujui kufanya
Mambo ya kidaktari hayo unaonekana vizuri kabisa kuwa huna ujualo hapo. Kwa nini usitulie ujifunze kwa wengine? Watu wengine mnakera!Hakuna mwanamke aliyemkavu sehemu hizo. Labda awe ana hisia tofauti na hali halis au hakupendi kabisa. Vinginevyo maumbile yako pia yamekaa vibaya yanamtisha mwenzio.