Tatizo la Ummy ni kutumia kisambaa kusema "Zumbe"

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Tatizo la Ummy ni kutumia kisambaa kusema "Zumbe" . Zumbe maana yake ni wazee machief wa zamani lakini siku hizi jina hili wanatumia kwa maana ya mwanaume kiongozi mkakamavu "jembe" au shujaa. Sasa Ummy kusema Tanzania inataka "Zumbe". Huyu dada alikuwa mtu wa Magufuli. Lakini Ummy vilevile anajiona kama ni talent kuliko Mama kwamba yeye ni Lawyer mzuri mwenye kipaji na alimuona kama Samia kawekwa kisiasa tu bila kuwa na talent.
 
The truth! Air hostess si sawa na Lawyer
 
Hakuna kosa hapo, sema tu ukweli huwa unauma mno kwa maccm
 
Tatizo la Ummy ni kutumia kisambaa kusema "Zumbe" . Zumbe maana yake ni wazee machief wa zamani lakini siku hizi jina hili wanatumia kwa maana ya mwanaume kiongozi mkakamavu "jembe" au shujaa. Sasa Ummy kusema Tanzania inataka "Zumbe". Huyu dada alikuwa mtu wa Magufuli. Lakini Ummy vilevile anajiona kama ni talent kuliko Mama kwamba yeye ni Lawyer mzuri mwenye kipaji na alimuona kama Samia kawekwa kisiasa tu bila kuwa na talent.
Lugha zetu za asili ni nzuri sana. New id Zumbe
 
Back
Top Bottom