Tatizo la Ummy ni kutumia kisambaa kusema "Zumbe" . Zumbe maana yake ni wazee machief wa zamani lakini siku hizi jina hili wanatumia kwa maana ya mwanaume kiongozi mkakamavu "jembe" au shujaa. Sasa Ummy kusema Tanzania inataka "Zumbe". Huyu dada alikuwa mtu wa Magufuli. Lakini Ummy vilevile anajiona kama ni talent kuliko Mama kwamba yeye ni Lawyer mzuri mwenye kipaji na alimuona kama Samia kawekwa kisiasa tu bila kuwa na talent.
..Ni kweli Mama Abduli aliwekwa tu lakini hana uwezo, kipaji, wala ushawishi.