😂😁😂😂😁😁😁😁Wengine wanasema walikuwa wanagombea bwana.... kila MTU anasema lake
Pia anatukio lake pale mliman city enzi. unalifahamuEti ummy hakufail kidato cha nne
The truth! Air hostess si sawa na LawyerTatizo la Ummy ni kutumia kisambaa kusema "Zumbe" . Zumbe maana yake ni wazee machief wa zamani lakini siku hizi jina hili wanatumia kwa maana ya mwanaume kiongozi mkakamavu "jembe" au shujaa. Sasa Ummy kusema Tanzania inataka "Zumbe". Huyu dada alikuwa mtu wa Magufuli. Lakini Ummy vilevile anajiona kama ni talent kuliko Mama kwamba yeye ni Lawyer mzuri mwenye kipaji na alimuona kama Samia kawekwa kisiasa tu bila kuwa na talent.
The truth! Air hostess si sawa na Lawyer
Air hostess!Ukiwa mjinga jinga elimu kwako huwezi kujua tofauti. Kunyamaza wakati mwingine ni bora . Nikuambie tu umekosea wajinga hawaitwi "Retired" ni "Retarded"
Post of the week! Naomna niifugulie thread, lakini sijui kama wataiweka live.....Huko ccm kumtafuta aliye nafuu kuliko mwingine ni sawa na kutafuta bikira kwenye wodi ya wazazi
===Mwanajamii forum mmoja aliwahi kusema hivyo===
Alikua anaongea na nai hivi? Akamsnitch mwenzie.Usi zunguke sema ali mpiga umbea, pasipo kujua ana rekodiwa kudadadeki.
Weshu N'zezeZumbe atogolwe!
Mungu nifundishe kunyamazaAlikua anaongea na nai hivi? Akamsnitch mwenzie.
Hakuna kosa hapo, sema tu ukweli huwa unauma mno kwa maccmTatizo la Ummy ni kutumia kisambaa kusema "Zumbe" . Zumbe maana yake ni wazee machief wa zamani lakini siku hizi jina hili wanatumia kwa maana ya mwanaume kiongozi mkakamavu "jembe" au shujaa. Sasa Ummy kusema Tanzania inataka "Zumbe". Huyu dada alikuwa mtu wa Magufuli. Lakini Ummy vilevile anajiona kama ni talent kuliko Mama kwamba yeye ni Lawyer mzuri mwenye kipaji na alimuona kama Samia kawekwa kisiasa tu bila kuwa na talent.
Lugha zetu za asili ni nzuri sana. New id ZumbeTatizo la Ummy ni kutumia kisambaa kusema "Zumbe" . Zumbe maana yake ni wazee machief wa zamani lakini siku hizi jina hili wanatumia kwa maana ya mwanaume kiongozi mkakamavu "jembe" au shujaa. Sasa Ummy kusema Tanzania inataka "Zumbe". Huyu dada alikuwa mtu wa Magufuli. Lakini Ummy vilevile anajiona kama ni talent kuliko Mama kwamba yeye ni Lawyer mzuri mwenye kipaji na alimuona kama Samia kawekwa kisiasa tu bila kuwa na talent.
Usije ukanyamaza jumla mkuu sema tu.Mungu nifundishe kunyamaza
Tatea ti wedi kabisa mhumue zeze mia?Weshu N'zeze
Ukiweya