Tatizo la Ummy ni kutumia kisambaa kusema "Zumbe" . Zumbe maana yake ni wazee machief wa zamani lakini siku hizi jina hili wanatumia kwa maana ya mwanaume kiongozi mkakamavu "jembe" au shujaa. Sasa Ummy kusema Tanzania inataka "Zumbe". Huyu dada alikuwa mtu wa Magufuli. Lakini Ummy vilevile anajiona kama ni talent kuliko Mama kwamba yeye ni Lawyer mzuri mwenye kipaji na alimuona kama Samia kawekwa kisiasa tu bila kuwa na talent.
Ndio yupo sahihiTatizo la Ummy ni kutumia kisambaa kusema "Zumbe" . Zumbe maana yake ni wazee machief wa zamani lakini siku hizi jina hili wanatumia kwa maana ya mwanaume kiongozi mkakamavu "jembe" au shujaa. Sasa Ummy kusema Tanzania inataka "Zumbe". Huyu dada alikuwa mtu wa Magufuli. Lakini Ummy vilevile anajiona kama ni talent kuliko Mama kwamba yeye ni Lawyer mzuri mwenye kipaji na alimuona kama Samia kawekwa kisiasa tu bila kuwa na talent.
mwizi huyo ....mkuu usilolijua ni sawa na giza, moja ya wizi na ufisadi alioufanya ni kula pesa za grobal fundTatizo la Ummy ni kutumia kisambaa kusema "Zumbe" . Zumbe maana yake ni wazee machief wa zamani lakini siku hizi jina hili wanatumia kwa maana ya mwanaume kiongozi mkakamavu "jembe" au shujaa. Sasa Ummy kusema Tanzania inataka "Zumbe". Huyu dada alikuwa mtu wa Magufuli. Lakini Ummy vilevile anajiona kama ni talent kuliko Mama kwamba yeye ni Lawyer mzuri mwenye kipaji na alimuona kama Samia kawekwa kisiasa tu bila kuwa na talent.
Ummy exactly ana talent gani?Tatizo la Ummy ni kutumia kisambaa kusema "Zumbe" . Zumbe maana yake ni wazee machief wa zamani lakini siku hizi jina hili wanatumia kwa maana ya mwanaume kiongozi mkakamavu "jembe" au shujaa. Sasa Ummy kusema Tanzania inataka "Zumbe". Huyu dada alikuwa mtu wa Magufuli. Lakini Ummy vilevile anajiona kama ni talent kuliko Mama kwamba yeye ni Lawyer mzuri mwenye kipaji na alimuona kama Samia kawekwa kisiasa tu bila kuwa na talent.
Ummy hakujua kuwa mama hataki watu wasio chawa na waimba kwayaTatizo la Ummy ni kutumia kisambaa kusema "Zumbe" . Zumbe maana yake ni wazee machief wa zamani lakini siku hizi jina hili wanatumia kwa maana ya mwanaume kiongozi mkakamavu "jembe" au shujaa. Sasa Ummy kusema Tanzania inataka "Zumbe". Huyu dada alikuwa mtu wa Magufuli. Lakini Ummy vilevile anajiona kama ni talent kuliko Mama kwamba yeye ni Lawyer mzuri mwenye kipaji na alimuona kama Samia kawekwa kisiasa tu bila kuwa na talent.
Lipi hiloPia anatukio lake pale mliman city enzi. unalifahamu
Hahaha embu tukumbushe kidogo, huo umbea ulikuwa unahusu nini?Usi zunguke sema ali mpiga umbea, pasipo kujua ana rekodiwa kudadadeki.
Lipi hilo?Pia anatukio lake pale mliman city enzi. unalifahamu
Sasa si utukumbushe mkuu? Yaani pamoja nakuwa anonymous bado unashindwa kusema?!🤔Pia anatukio lake pale mliman city enzi. unalifahamu
Sik wapambane bali Ummy ndio keshapigwa hivyo. Nadhani tangia aongoze kura za maoni alikuwa hana amani kuelekea mkutano mkuu na maamuzi haya ni kama aliyategemea. Pole yake, teuzi tamu na unapowekwa nje ile prestige uliyokuwa ukiipokea kwenye public ndio inatowekaWacha wapambane wenyewe kwa wenyewe!
Huko kwenu ni wapi, nyie si ni wale nyumbu? Zero brainHuko ccm kumtafuta aliye nafuu kuliko mwingine ni sawa na kutafuta bikira kwenye wodi ya wazazi
===Mwanajamii forum mmoja aliwahi kusema hivyo===
Mungu nifundishe kunyamazaHahaha embu tukumbushe kidogo, huo umbea ulikuwa unahusu nini?
Hiiii kwani uongo Tatizo hangaya anaipiga Mtungo Tanganyika MBELE NA NYUMA Sasa sijui Jeshi la Malawi wako Gaza kwenye mahafali😏😏Tatizo la Ummy ni kutumia kisambaa kusema "Zumbe" . Zumbe maana yake ni wazee machief wa zamani lakini siku hizi jina hili wanatumia kwa maana ya mwanaume kiongozi mkakamavu "jembe" au shujaa. Sasa Ummy kusema Tanzania inataka "Zumbe". Huyu dada alikuwa mtu wa Magufuli. Lakini Ummy vilevile anajiona kama ni talent kuliko Mama kwamba yeye ni Lawyer mzuri mwenye kipaji na alimuona kama Samia kawekwa kisiasa tu bila kuwa na talent.
Ùzuri wake samia atakabidhi madaraka baada ya kuteua wabunge 2030 so aisome nambaSik wapambane bali Ummy ndio keshapigwa hivyo. Nadhani tangia aongoze kura za maoni alikuwa hana amani kuelekea mkutano mkuu na maamuzi haya ni kama aliyategemea. Pole yake, teuzi tamu na unapowekwa nje ile prestige uliyokuwa ukiipokea kwenye public ndio inatoweka
Hii iliandikagwa kwenye kioo HIACE moja ilikuwa inafanya Safari zake kkoo Sinza kupitia TANDALEZumbe atogolwe!