Lakini ndo ukweli wanaouona Watanganyika wote. Wewe unatoka Ki nchi gani?Tatizo la Ummy ni kutumia kisambaa kusema "Zumbe" . Zumbe maana yake ni wazee machief wa zamani lakini siku hizi jina hili wanatumia kwa maana ya mwanaume kiongozi mkakamavu "jembe" au shujaa. Sasa Ummy kusema Tanzania inataka "Zumbe". Huyu dada alikuwa mtu wa Magufuli. Lakini Ummy vilevile anajiona kama ni talent kuliko Mama kwamba yeye ni Lawyer mzuri mwenye kipaji na alimuona kama Samia kawekwa kisiasa tu bila kuwa na talent.
Halafu cha kuchekesha na kufurahisha, hao CCM wasio na talent wala akili wanawaongoza akili kubwa kama Chadema kama gari bovu hadi wanakimbia Uchaguzi Mkuu! Daaaaaadeki!!Huko ccm kumtafuta aliye nafuu kuliko mwingine ni sawa na kutafuta bikira kwenye wodi ya wazazi
===Mwanajamii forum mmoja aliwahi kusema hivyo===
aliiba mkufu wakadaka enzi anasoma UDsmSasa si utukumbushe mkuu? Yaani pamoja nakuwa anonymous bado unashindwa kusema?!🤔
Hili linaeleweka harakaWengine wanasema walikuwa wanagombea bwana.... kila MTU anasema lake
Nani alisoma udsm?aliiba mkufu wakadaka enzi anasoma UDsm