Mkuu nilikuwa na tatizo kama lako sasa limeisha,fanya hivi:-
-Kwanza kabisa usitumie dawa yoyote kama After shave,bump patrol,bump control n the likes
-Acha ndevu zikuwe kabisa halafu ukanyoe mahali ambapo utakuwa unanyoa hapo hapo mara zote,au ukitumia shaving mashine usije kutumia hizi nyembe za mkono mkuu.
-Kisha baada ya kunyoa usipake CHOCHOTE hata Spirit kwakuwa inakomaza ngozi yenye ndevu na haiondoi tatizo zaidi ya kuzuia bacteria for some minutes na mara nyingine hawapo.
-Ukimaliza kunyoa jioshe na maji ya vuguvugu(sii yamoto) tu au na kukamulia limao kidogo NA sio kila siku bali ni baada ya kunyoa tu mfano ukiwa unaoga.
Naamini tatizo litakuwa limeishia hapo.